Malalamiko: Wanawake kutokuvaa sidiria kufunika Nyonyo

Malalamiko: Wanawake kutokuvaa sidiria kufunika Nyonyo

😂😂😂
baba unafanya nini kwenye hii thread lakini..?
Unanifunza nini binti yako..??
Unajua kabisa ni kwanini nimevutiwa kutia neno kwenye huu uzi, hichohicho unachokiwaza ndio jibu lenyewe.

Ile kuona heading tu, nikakumbuka ile miwani ilivyokuwa inabembea bila tabu.

😂😂
 
Habari za muda huu wadau ningeomba niende moja kwa moja juu ya mada.

Jamani wadada mnapokuja asubuhi kununua vitafunwa labda maandazi, vitumbua bagia na kadhalika basi muwe mnava sidiria jamani nyonyo nazo zinachungulia deli sasa inaleta mtafaruko kidogo.

Tuko kwenye uchumi mgumu na mnazidi kuurudisha nyuma. Ningeomba Serikali labda kama inaweza ingilia kati itapendeza, asante.
Kama serikali imeshindwa kuwadhibiti wasivae nusu uchi au kujiuza mitaani unafikiri hilo wataliweza...?
 
Back
Top Bottom