Malalamiko: Wanawake kutokuvaa sidiria kufunika Nyonyo

Malalamiko: Wanawake kutokuvaa sidiria kufunika Nyonyo

Habari za muda huu wadau ningeomba niende moja kwa moja juu ya mada.

Jamani wadada mnapokuja asubuhi kununua vitafunwa labda maandazi, vitumbua bagia na kadhalika basi muwe mnava sidiria jamani nyonyo nazo zinachungulia deli sasa inaleta mtafaruko kidogo.

Tuko kwenye uchumi mgumu na mnazidi kuurudisha nyuma. Ningeomba Serikali labda kama inaweza ingilia kati itapendeza, asante.
Hao ni jirani zako kwa mpalanghe
 
Hapa kuna ukweli yaani mtu asubuhi asubuhi mnara unaanza kusoma 4G+ kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom