antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Picha ya hizo nyonyo kukazia Uzi basi😁Habari za muda huu wadau ningeomba niende moja kwa moja juu ya mada.
Jamani wadada mnapokuja asubuhi kununua vitafunwa labda maandazi, vitumbua bagia na kadhalika basi muwe mnava sidiria jamani nyonyo nazo zinachungulia deli sasa inaleta mtafaruko kidogo.
Tuko kwenye uchumi mgumu na mnazidi kuurudisha nyuma. Ningeomba Serikali labda kama inaweza ingilia kati itapendeza, asante.