Malalamiko ya Dulla Mbabe na Ibra Class kwa kupoteza pambano dhidi ya Katompa ni sawa na mfa maji

Alicheza foul iliyopelekea Kidunda kupata injury juu ya jicho but alikuwa anaongoza kwa score board hadi match inahairishwa .
Second fight Katompa alipigwa vizuri tu . Sio unaponda na kusifia
Wageni tu
Tuwe wakweli Dullah mbabe alichakazwa,astaafu tuu akalime bangi!
 
Hapo Sasa katompa na stress za kufiwa na baba Bado katuchakazia mtu wetu!Kubali Dullah kuwa umepigwa kama umepiga.
 
Hapo Sasa katompa na stress za kufiwa na baba Bado katuchakazia mtu wetu!Kubali Dullah kuwa umepigwa kama umepiga.
Ha ha ha ha ha Yani Dulla kwa KATOMPA atake atapigwa, asitake atapigwa tu. Hana uwezo wa kumpiga yule Mkongo labda kwa dawa.
 
Kiukweli dullah ukiachana na uropokaji wake ni mweupe sana ktk boxing,, ni mzito sana hata urushaji wake wa ngumi tu sio mzuri.

Ibra yupo vzr sana aache maneno ya kitoto jana dullah kachapika sana
 
Acha uongo kidunda alipigwa kichwa sio ngumi, unaandika uongo kwa faida gn ? Ww jamaa mjinga sana unaandika uongo bila hata hofu[emoji706]
 
Hajashuka ndo uwezo wake ,Ajawai kuwa bondia wa maana huyo dullah basi tu
 
Kwanini mechi ya kwanza iliahirishwa ?
Katompa alimpiga kichwa Kidunda akamsababishia jeraha baya juu ya jicho ndio maana kuondoa utata Waka amua pambano livunjwe , Ilitakiwa Katompa ahesabike amecheza un sportsman faul na kupoteza mchezo ule dhidi ya Kidunda.

Waungwana Waka andaa pambano lingine ambalo Kidunda alishinda bila zengwe.
 
Hakuna Bondia hapa Africa anayeweza kumpiga Kidunda.
Umeambiwa pambano la marudiano alipigwa bado unauliza sababu wakati sababu zilikuwa wazi
Achana nae huyu hajui chochote kuhusu boxing chuki chuki zake ndio zimemleta hapa . Huyu mtu yuko happy Mtanzania mwezake
Kupigwa na anaogeza uongo ambao haufaham.
 
Ni sahihi. Hata wanavyoongea ni kama watoto wa P3 vile.
 
Ibra nae sijui kawaje! mtu kachezea hivyo halafu anataka mbeleko.
Alafu akawa anajiliza huku kajilaza kwe ye kifua cha jamaa. Leo Azam walikuwa wanaonesha marudio hadi wife akaniuliza huyu ni nani yake mbona analia huku amelala na kubembelezwa kwenye kifua cha mwanaume mwenzake?
 
Achana nae huyu hajui chochote kuhusu boxing chuki chuki zake ndio zimemleta hapa . Huyu mtu yuko happy Mtanzania mwezake
Kupigwa na anaogeza uongo ambao haufaham.
Achana naye huyo anachojua ni kulamba viatu vya mbowe. Huyo ni bi Mdogo wa Mbowe anaitwa Joyce Mukya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…