Kiongozi sa jf kwa hili ndugu yangu utasaidikaje. Nenda kwanza mpaka kwa ofisi zao u claim au nenda polisi uripoti ama nenda hata huko cjui latra uwaambie. Mimi hakuna siku nitakata tiketi online kama sijaliona basi nefaa! Nione basi hata kama simu sina madalali wapo niwape hela wanipe("wanikatie" hilo neno ni changamoto kulitumia hapo) tiketi.