January alikuwa ni tatizo na matatizo aliyoyaleta yataendelea kuwepo sababu hatuna utaratibu ya kufanya total overhaul.
Tanesco 2021 ilisaini mkataba wenye thamani ya Bilion 69.1 na Mahindra Tech ya India ili kupata "software" itakayoimarisha huduma kwa wateja. Kama
1.Kujua tatizo linapotokea.
2 Kuimarisha kituo cha kupiga simu(call center)
Tukaambiwa mfumo utaanza baada ya miezi 12 na kukamilika miezi 30 baadae.
Ila amini usiamini ni utapeli.
Je nchi ilishindwa kuwatumia wahandisi wazawa kubuni mfumo?
Je nani aliwatafuta hawa Mahindra tech ?
Mahindra Tech waliingia katika ushindani na makampuni yapi kugombea zabuni hiyo?
Zabuni iliyompata Mahindra Tech ilitangazwa lini na wapi?
Ukijua majibu ya maswali hayo hapo utajua tatizo liko wapi na linaendelea vipi.
View attachment 2821025