MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Umeme wa Tanzania hautoshi ni mdogo mno. Pia kwenye umeme mafisadi wameweka kambi kwa miaka mingi. Mikataba mingi iliyosainiwa ni ya kipigaji. Kina Makamba hata kama nao walipiga tayari walikuta watu washapiga sana na wanaendelea na upigaji. Cha muhimu ni bwawa la Nyerere kukamilika ili kupunguza ukubwa wa tatizo