Malalamiko ya Makato ya Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Mwezi Juni, 2021

Huo ni wizi wamefanya. Wamepandishia madaraja watumishi, Kama serikali Haina hela waseme tu
 
Walidhani hatuwezi kubaini wizi huo
Baada ya Rais kuondoa Rentation fee, majizi yameona yaibe kimyakimya
 
Walidhani hatuwezi kubaini wizi huo
Baada ya Rais kuondoa Rentation fee, majizi yameona yaibe kimyakimya
Mbona kwangu Deni limeshuka Sana . Yaani siamini kutoka mil6 hadi 28500. Dah
 
Never trust a politician ,even if he comes to you holding a Bible/ Quran on his head.
 
Aisee ni kweli. Nimeenda ofisi ya Bodi ya mkopo leo. Wanasema wao hawahusiki na salary slip za utumishi. Tatizo lipo hazina.
 
Dawa ya deni kulipa..nyie mlikua mnatulingishia sana na vibumu vyenu..kila wikendi pizza hut kutulingishia life la chuo na videmu vyenu...lipeni achani kulalama.

#MaendeleoHayanaChama
Mwenzako ana tatizo serious wewe unafanya mzaha. Acha utoto.
 


Mimi eti salary slip inaonesha nimekatwa sh 15 mwezi juni lkn take home ni ileile inabidi watoe maelezo.
 
Bodi ya mikopo ni jangaa halafu yapo kimya Kama hakuna kilichotokea .
 
Watu wamekatwa pesa zao ila deni limebaki palepale au kupungua kama sh 15000 tu [emoji3][emoji3][emoji3]
Angalia salary slip kwa makini. Linganisha na zile za miezi iliyotangulia...
 
Ukiwatembelea kwenye website yao unakutana na picha hii

Halafu kwa chini kidogo picha ya huyu jamaa kageuzwa ukiwa unatumia desktop mpaka uligeuze shugjuli ipo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


Yani wanachekesha sana. Halafu leo ni tarehe moja walisema watafungua maombi naona bado wamelala tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…