Malalamiko ya Simba yangeweza kujadiliwa hata baada ya mechi na adhabu stahiki ingetolewa!

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Bodi ya ligi ilipaswa kutulia na kuyajadili malalamiko ya Simba kwa mujibu wa kanuni.
Aidha ingethibitika kuna ukweli Yanga au mashabiki wake wamefanya ndivyo sivyo adhabu stahiki ingetolewa ikiwemo kupokwa points kama kanuni za adhabu zinataka hivyo.

Bodi ni lazima itoe tamko la kikanuni kuonesha kuwa Kuna sababu ya kikanuni iliyopelekea mechi kuhairishwa.

Yanga ilivyoenda Congo kuikabili Mazembe ilifanyiwa figisu sana ila wanaume hawa waliingiza timu na wakapata matokeo.
 
Hivi malalamiko baada ya kupoteza mechi kufuatia kukosa proper fitness iliyosababishwa na wapinzani, unadhani consequences yoyote kwenye hayo malalamiko yatampa faida Simba kwenye race ya Ubingwa?
 
Hii kitu imewauma sana Simba, vipigo vinne mfululizo halafu derby waliyokuwa wanategemea watoe hata sare imeahirishwa, mtu kalipia tiketi halafu mechi imeahirishwa.

----A BINGWA TENA
Hajawauma Simba wamefurahi..... Waajua waikua wanakufa nyingi...

Camara Mgojwa, Arteba majeruhi.....! Wakaona Bora waweke Mpira kwapani.
 
jingalao
 
Hivi malalamiko baada ya kupoteza mechi kufuatia kukosa proper fitness iliyosababishwa na wapinzani, unadhani consequences yoyote kwenye hayo malalamiko yatampa faida Simba kwenye race ya Ubingwa?
Chutama Mkuu... Mmetia aibu mnoo
 
Hivi malalamiko baada ya kupoteza mechi kufuatia kukosa proper fitness iliyosababishwa na wapinzani, unadhani consequences yoyote kwenye hayo malalamiko yatampa faida Simba kwenye race ya Ubingwa?
Mechi 4 mfululizo mlizokua na iyo poper fitness mbona mlikandwa? proper fitness lazima ufanyie mazoezi kwa mkapa? Sema tu simba mna inferiority complex mbele ya yanga.
 
Hawakuruhusiwa kufanya mazoezi huko Congo?!
 
Mechi 4 mfululizo mlizokua na iyo poper fitness mbona mlikandwa? proper fitness lazima ufanyie mazoezi kwa mkapa? Sema tu simba mna inferiority complex mbele ya yanga.
Na kwasababu hizo hizo kwanini Yanga wazuie Simba wasifanye mazoezi wakati wao ni giants na Simba ni underdog kwasababu mechi nne zote wameshinda?
 
Na kwasababu hizo hizo kwanini Yanga wazuie Simba wasifanye mazoezi wakati wao ni giants na Simba ni underdog kwasababu mechi nne zote wameshinda?
Uwanja una management yake na hao ndio wahusika.

Hata hivyo, msafara una vibabu, mmebeba bundi na mzoga wa kichwa cha mbuzi. Mazoezi gani hayo mlikua mnaenda kufanya?
 
Kilichotokea ndio yaleyake tunayoyapigia kelele kila siku "INCOMPETENCE".

Kilichotokea kwenye mechi ya SIMBA Vs YANGA hakina tofauti na tabia za kiutendaji za kila siku kwenye mifumo ya Serikali.
Hakika..

Tukio hili ni reflection halisi ya jinsi usimamizi na uendeshaji wa hovyo na wa chini ya kiwango wa mambo yetu kama nchi...

Ndiyo. Kwa macho na fikra za juujuu tunaweza kuona na kudhani kwamba hili ni tatizo la TFF na vilabu vya michezo...

Si kweli hata kidogo. Msingi wa matatizo haya yote ni ubovu wa mfumo wa utawala mzima wa nchi unaojitokeza ktk hali halisi ya usimamizi na uendeshaji wa taasisi na Jumuiya za kijamii. Umeona wapi Rais yeyote duniani wa kununua magoli kama huyu wa kwetu...?

Mfumo mbovu wa utawala ktk nchi yetu tokana na ya sheria na katiba mbovu umeharibu mpaka uendeshaji wa taasisi za kijamii kama hizi za michezo. Kama ni rushwa na ufisadi ni kuanzia kwenye taasisi za serikali hadi kwenye Jumuiya za kawaida za kiraia ...

Tujiulize. Hivi inawezekana vipi kuahirisha mchezo wenye mihemuko mikubwa kama huu huku watu wakiwa tayari wako uwanjani na kwa sababu ambazo actually ni za kitoto sana na zilipaswa kushughulikiwa mapema kabla..?

Aisee wabongo chini ya CCM hii na kwa utaratibu huu, hakika hatutafika popote kimaendeleo...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…