Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Ndio, inaweza kufanya ama isifanye. Hakuna rekodi ni timu hizi kufanya mazoezi ya mwisho taifa. Lakini pia hata kama wamezuiwa (na msimamizi wa uwanja) kanuni zinasema WASUSIE ama MCHEZO UAHIRISHWE?Ila inafanya mepesi sio..