Malalamiko ya Simba yangeweza kujadiliwa hata baada ya mechi na adhabu stahiki ingetolewa!

Ila inafanya mepesi sio..
Ndio, inaweza kufanya ama isifanye. Hakuna rekodi ni timu hizi kufanya mazoezi ya mwisho taifa. Lakini pia hata kama wamezuiwa (na msimamizi wa uwanja) kanuni zinasema WASUSIE ama MCHEZO UAHIRISHWE?
 
Niwekee nione hizo taratibu
 
Kwa hiyo umejifichia kwenye coaster? Jibu swali, umeliona BM?
Nimeliona na sio mara ya kwanza, naliionga sana hapo likiwa limepaki na sio hilo tu kuna magari mengi yanapaki hapo.
 
Shangaa sasa!

Yani wiki nzima haijawatosha kupata fitness ila wanaamini masaa yasiyozidi sita yatawapa fitness ya kuifunga Yanga!

Simba wakubali tu wameiogopa Yanga.

Nyingine ni visababu visivyokuwa na kichwa wala miguu.
Waoga ni wale waliotuma mabaunsa kuzuia mazoezi ya timu isiyoogopesha,kwa nini uzuie mazoezi ambayo yapo kwa mujibu wa kanuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…