Hafai kabisaMimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu).
Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe zinafahamika na kila mmoja akiwemo Tulia mwenyewe.
Najivunia Ujasiri wangu huu.
View attachment 2798412
Apungeze kulalamika.Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu).
Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe zinafahamika na kila mmoja akiwemo Tulia mwenyewe.
Najivunia Ujasiri wangu huu.
View attachment 2798412
Punguza kujimwambafai basi. Tuachie sisi tukusifie, siyo wewe mwenyewe kujisifia.Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani,
Kwisha habari yako!Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu).
Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe zinafahamika na kila mmoja akiwemo Tulia mwenyewe.
Najivunia Ujasiri wangu huu.
View attachment 2798412
Hata mimi sijapenda pia Mkuu.Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu).
Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe zinafahamika na kila mmoja akiwemo Tulia mwenyewe.
Najivunia Ujasiri wangu huu.
View attachment 2798412
Sasa huyu Bi. Cheusi naye kiongozi?
Huu mgawanyiko wa Watanzania usipoangaliwa unaweza kutuingiza kwenye Vita vya sisi kwa sisi.
Kweli kabisaHawa watu wakishakua na madaraka wanatuona sisi sote ni sawa na takataka huyu Tulia ana dharau..ana kiburi na majivuno sana...sijui uzito wa hiyo nafasi lakini kwa vyovyote ni nafasi isiyikua na maana ndio mana unaona hata Siasa za nchi kubwa hazikuingizwa hapo ungeoja kama US na China wanapambania hapo ndio ungeweza kuona ni. Nafasi ya maana..otherwise washiriki walikua watu dhaifu toka nchi chovu tu kama hapa hamna kitu...
Kasabisha mwenyewe huo mpasuko, mwanzilishi wa huu ujinga ni yeye mwenyewe kujiona ni mtu specialHuyo Bi Mkora ajitafakari sana!