Malalamiko ya Tulia Ackson yafanyiwe kazi. Nchi imegawanyika na itaendelea kugawanyika

Malalamiko ya Tulia Ackson yafanyiwe kazi. Nchi imegawanyika na itaendelea kugawanyika

Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu).

Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe zinafahamika na kila mmoja akiwemo Tulia mwenyewe.

Najivunia Ujasiri wangu huu.

View attachment 2798412
Hafai kabisa
 
Apungeze kulalamika.
Kupingwa ni afya.

Je Bunge analoliongoza ni la wananchi since when?
 
Hawakuwa watanzania bali ni kakaundi cha watu wachache wenye majeraha ya kupoteza ulaji mwaka 2020. Watanzania huwa hawana chuki ya namna hii huwa wanavumiliana na linapokuja swala la kitaifa huwa ni kitu kimoja.
 
Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu).

Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe zinafahamika na kila mmoja akiwemo Tulia mwenyewe.

Najivunia Ujasiri wangu huu.

View attachment 2798412
Kwisha habari yako!
 
Hawa watu wakishakua na madaraka wanatuona sisi sote ni sawa na takataka huyu Tulia ana dharau..ana kiburi na majivuno sana...sijui uzito wa hiyo nafasi lakini kwa vyovyote ni nafasi isiyokua na maana ndio mana unaona hata Siasa za nchi kubwa hazikuingizwa hapo ungeona kama US na China wanapambania hapo ndio ungeweza kuona ni. Nafasi ya maana..otherwise washiriki walikua watu dhaifu toka nchi chovu tu kama hapa hamna kitu...Ni wao wenyewe wanaikuza mana Tulia anajua wazi kule Mbeya hakushinda hata leo wakiita uchaguzi hawezi kushinda uchaguzi Huru.
 
Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu).

Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe zinafahamika na kila mmoja akiwemo Tulia mwenyewe.

Najivunia Ujasiri wangu huu.

View attachment 2798412
Hata mimi sijapenda pia Mkuu.
Tulia Acson kawa mnoko sana siku hizi..
Utahalalishaje mkataba mbovu wa kuweka rehani uhuru wa nchi?!
She is so incompetent & not fit for our Nation
 
Huu mgawanyiko wa Watanzania usipoangaliwa unaweza kutuingiza kwenye Vita vya sisi kwa sisi.

No such a thing. Mgawanyiko upo siku zote na utaendelea kuwepo, watanzania sio monolithic kwamba wote wawe kitu kimoja.
 
Hawa watu wakishakua na madaraka wanatuona sisi sote ni sawa na takataka huyu Tulia ana dharau..ana kiburi na majivuno sana...sijui uzito wa hiyo nafasi lakini kwa vyovyote ni nafasi isiyikua na maana ndio mana unaona hata Siasa za nchi kubwa hazikuingizwa hapo ungeoja kama US na China wanapambania hapo ndio ungeweza kuona ni. Nafasi ya maana..otherwise washiriki walikua watu dhaifu toka nchi chovu tu kama hapa hamna kitu...
Kweli kabisa
 
Tulia asitake kuaminisha alipata upinzani mkali, watu kutoka nchi dhaifu waliogombea nae uspika wa IPU

the three other candidates on the ballot – Ms. Adji Diarra Mergane Kanouté of Senegal, Ms. Catherine Gotani Hara of Malawi and Ms. Marwa Abdibashir Hagi of Somalia – were all women MPs from Africa.

Sasa hapo kuna upinzani mkali? Jamani tusipende sifa kuonyesha eti Tulia kashinda kwa kupambana sana eti kapita kwa upinzani haswa, hao candidates hapo kuna ushindani wowote kwa wale wanaojua world politics?

Haya mambo ya kutafuta sifa mabaya sana
 
Mbona mimi naona hayo yote ni sehemu ya demokrasia. Kama hao aliogombea nao walibadilisha mawazo kuna ubaya gani? Au ndio kule kupenda kushinda bila kupingwa?

Hawa wa Kijani wanapenda sana kupata kura 100%, hapo hizo 57% zinamtesa sana, kwani ni ushindi mwembamba, lakini kidemokrasia ndio mshindi hivyo.

Rondo ka-support kwengine nongwa, sasa wale wa nchi nyingine kuacha wao ku-support Tanzania ni sahihi!!

View: https://youtu.be/m0x2KrDHCRA?si=hI3AqNSA_FQ1CxkQ

Tulia Ackson elected new President of the IPU
 
Tunakumbushana tu

Dr Tulia PhD siyo Mtanzania wa kwanza kufanyiwa figisu asiongoze Taasisi ya kimataifa, hata Membe yalimkuta kule Jumuiya ya Madola

Mungu wa mbinguni awabariki 😀
 
Kosa la tulia ni kugeuza bunge kuwa kama UVCCM, asimame na maslahi ya wananchi mbona heshima itarudi. Nchi ina changamoto nyingi lakini huwezi kusikia Spika anaisimamia serikali yaani serikali ndiyo inasimamia bunge ni ujinga tupu.
 
Back
Top Bottom