Malalamiko ya Tulia Ackson yafanyiwe kazi. Nchi imegawanyika na itaendelea kugawanyika

Hueleweki kama unalia au unalalamika
 
Huyu kibwengo waliomchagua ni wapumbavu kibaya kuliko hata shetani pumbavu zake
 
Sisi Wananchi tuandai KATIBA MPYA wao CCM hawataki.

Sisi tunasema hii KATIBA ni ya MFUMO wa CHAMA KIMOJA wao wanatuhadaa kwa mambo ya kilaghai na kupoteza muda
Katiba sio mwarobaini wa kila tatizo la Tanzania, haiwezi kuondoa ufisadi ambao umekwamisha kusonga mbele kwa mambo mengi.
 

Wale wapinzani wake sijui waliokotwa wapi. Ndio waliompa sifa hizi za kijinga.
 
Hapana.
Hiyo vita kamwe haiwezi kuwa "sisi kwa sisi." Itakuwa ni vita kati ya wanaoipenda nchi yao Tanzania, na maadui wakubwa wa nch hiyo.
CCM wamejipambanua wazi wazi kuwa ni maadaui wa nchi hii.
CCM ya sasa si ya kupambania nchi bali maslahi binafsi tena bila uficho.
 
Kama watanzania hawakutaki basi ujue hata uwakilishi wako ni batili asilimia 500.
 
Huyu ni spika mjinga kabisa kuwahi kutoka nchi hii.Spika wa kishamba sana kutoka Unyakyusani.An empty set spika, a pumpkin spika.
 
Kwenye orodha hiyo Mimi sikosi. Hana la maana baada ya kukubali kuwa dekio la Ikulu.
 
Si kweli Chadema hawezi kumpambania CCM haijawahi tokea[emoji16]
Haukuwa uchaguzi wa Chadema na CCM, huyu mtu uongozi wake kama spika unawakera wengi wakiwemo viongozi wa CCM yenyewe. Rejea kauli ya Kinana, "Bunge limeacha jukumu lake la msingi la kuisimamia na kuishauri serikali badala yake linapitisha vitu vya hovyo".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…