Malalamiko ya wananchi dhidi ya January Makamba na Nape Nnauye ni maneno maneno tu waendelee kumiza wananchi? Hivi hii ni sawa kweli jamani?

Uelewa wako ni mdogo hususan ktk kuchanganua aina ya usafiri wa helkopta na utekelezaji wa mradi wa anuani za makazi. Jielimishe zaidi kuhusu mambo haya.
Kwamba helkopta ilitakiwa kusimamia kupaka vibao vya mitaa?
 
Nape ,January na Riz ni mkosi kwa hili taifa vijana hawa kuwapo ndani ya serikali wakiwa na nyazifa kama walizo nazo sasa,Magufuli aliliona hili
Watu wanalalama kuwa kuna dalili ya ufisadi wa wazi kabisa ambao waziri Makamba ameonyesha waziwazi kwa kuipa kandarasi ya ajabuajabu kampuni ya Mahindra tech na zaidi ya bil 70 wanakula hao wahindi. Je kuna nini kipya wameleta ufanisi?

Bwawa la Nyerere lilikuwa lianze kujazwa maji tangu Nov 2021. January kwa makusudi akaleta mizengwe. Lilikuwa likamikike June mwaka huu na kusaidia wananchi kupunguza gharama za maisha. Lakini ndio hivyo tena.

Huyu anaijanasibu kuwa hili taifa ni mali ya wazazi wake kisa tu wazazi wake walikuwa ni waasisi wa CCM anatumia helkopta ya jeshi kuzurula hovyo kuandika vibao vya mitaa. Mkuu wa nchi anaona sawa.Hizo.gharama anazotumia si zingenjenga vyoo vya shule huko vijini ambako watoto wanahangaika?

Mawazili kama wanakwamisha maendeleo ya wananchi alafu rais anatamka wazi kuwa ni vijimaneno na wachape kazi tu.

Tutapigwa na vitu vizito kichwani mpaka lini?

Hawa hawamkutii dhalimu maana mpaka sasa hivi hawajateka mtu, wala kumuua.
 
Hao wote uliowataja wazazi wao sio waasisi wa CCM na wala hawana any tangiable benefit kwenye chama.

Ni pere peree tu ndio zinawabeba.
 
Watu wanalalama kuwa kuna dalili ya ufisadi wa wazi kabisa ambao waziri Makamba ameonyesha waziwazi kwa kuipa kandarasi ya ajabuajabu kampuni ya Mahindra tech na zaidi ya bil 70 wanakula hao wahindi. Je kuna nini kipya wameleta ufanisi?

Bwawa la Nyerere lilikuwa lianze kujazwa maji tangu Nov 2021. January kwa makusudi akaleta mizengwe. Lilikuwa likamikike June mwaka huu na kusaidia wananchi kupunguza gharama za maisha. Lakini ndio hivyo tena.

Huyu anaijanasibu kuwa hili taifa ni mali ya wazazi wake kisa tu wazazi wake walikuwa ni waasisi wa CCM anatumia helkopta ya jeshi kuzurula hovyo kuandika vibao vya mitaa. Mkuu wa nchi anaona sawa.Hizo.gharama anazotumia si zingenjenga vyoo vya shule huko vijini ambako watoto wanahangaika?

Mawazili kama wanakwamisha maendeleo ya wananchi alafu rais anatamka wazi kuwa ni vijimaneno na wachape kazi tu.

Tutapigwa na vitu vizito kichwani mpaka lini?
Wananchi gani wana malalamiko sema wewe ndio unamalalamiko
 
Toa ushahidi acha porojo
 
CCM mmegawanyika.Mnachukiana ninyi kwa ninyi.Na aliyewagawanya mnamjua.Endeleeni hivyohivyo.Mola awarehemu.
 
Watu wanalalama kuwa kuna dalili ya ufisadi wa wazi kabisa ambao waziri Makamba ameonyesha waziwazi kwa kuipa kandarasi ya ajabuajabu kampuni ya Mahindra tech na zaidi ya bil 70 wanakula hao wahindi. Je kuna nini kipya wameleta ufanisi?

Bwawa la Nyerere lilikuwa lianze kujazwa maji tangu Nov 2021. January kwa makusudi akaleta mizengwe. Lilikuwa likamikike June mwaka huu na kusaidia wananchi kupunguza gharama za maisha. Lakini ndio hivyo tena.

Huyu anaijanasibu kuwa hili taifa ni mali ya wazazi wake kisa tu wazazi wake walikuwa ni waasisi wa CCM anatumia helkopta ya jeshi kuzurula hovyo kuandika vibao vya mitaa. Mkuu wa nchi anaona sawa.Hizo.gharama anazotumia si zingenjenga vyoo vya shule huko vijini ambako watoto wanahangaika?

Mawazili kama wanakwamisha maendeleo ya wananchi alafu rais anatamka wazi kuwa ni vijimaneno na wachape kazi tu.

Tutapigwa na vitu vizito kichwani mpaka lini?
Wakati wa magu alitembea na msafara wa magari yasopungua 100 na ndege kibao hewani hamkulalamika. Mnalalamikia helcopta 1.
 
Una akili Duni sana!

Alokwambia Mpina anataka uwaziri Ni Nani.?

Wewe Ni waziri halafu unakuwa na wasiwasi wa kupokonywa uwaziri??

Ukiwa muoga wa kupokonywa ugali, basi Fanya kazi kwa juhudi zote na kwa maarifa

Jinga sana wewe waziri
Mtateseka sana watu wa magufoolism
 
Watu wanalalama kuwa kuna dalili ya ufisadi wa wazi kabisa ambao waziri Makamba ameonyesha waziwazi kwa kuipa kandarasi ya ajabuajabu kampuni ya Mahindra tech na zaidi ya bil 70 wanakula hao wahindi. Je kuna nini kipya wameleta ufanisi?

Bwawa la Nyerere lilikuwa lianze kujazwa maji tangu Nov 2021. January kwa makusudi akaleta mizengwe. Lilikuwa likamikike June mwaka huu na kusaidia wananchi kupunguza gharama za maisha. Lakini ndio hivyo tena.

Huyu anaijanasibu kuwa hili taifa ni mali ya wazazi wake kisa tu wazazi wake walikuwa ni waasisi wa CCM anatumia helkopta ya jeshi kuzurula hovyo kuandika vibao vya mitaa. Mkuu wa nchi anaona sawa.Hizo.gharama anazotumia si zingenjenga vyoo vya shule huko vijini ambako watoto wanahangaika?

Mawazili kama wanakwamisha maendeleo ya wananchi alafu rais anatamka wazi kuwa ni vijimaneno na wachape kazi tu.

Tutapigwa na vitu vizito kichwani mpaka lini?
Mambo ya kijinga kijinga kama haya hayasaidii kulinda na kutetea legacy..

Legacy utaisahau hata wewe ni suala la mda tuu ,kwa sasa endelea kutapatapa kwa kuokoteza uzushi wa hapa na pale 👇

Screenshot_20220519-070225.png
 
Wasukuma mtalia Sana sababu hamna akili. Uko huko kolomije unasema eti migorogor nchi nzima.
Hovyo sana nyie. Migogoro ya Ardhi ipo tu na itaendelea kuwepo. Ndio maana kuna ofisi za Ardhi. Na ukienda huko sio lazima Wewe ndio upewe haki. Acheni U Gamboshi malabuku zenu sukimagang.
 
Back
Top Bottom