Malalamiko ya wananchi dhidi ya January Makamba na Nape Nnauye ni maneno maneno tu waendelee kumiza wananchi? Hivi hii ni sawa kweli jamani?

Malalamiko ya wananchi dhidi ya January Makamba na Nape Nnauye ni maneno maneno tu waendelee kumiza wananchi? Hivi hii ni sawa kweli jamani?

Miaka sitini ya uhuru Taifa bado linategemea fedha za COVID ndiyo liweze kutengenezea wanafunzi wetu matundu ya vyoo na bado unaona na kuamini kuwa mchawi ni akina Makamba na Nape?Jitafakari upya wewe pamoja na akili yako.
Basi wote ndio walewale.
 
Back
Top Bottom