Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #41
Basi wote ndio walewale.Miaka sitini ya uhuru Taifa bado linategemea fedha za COVID ndiyo liweze kutengenezea wanafunzi wetu matundu ya vyoo na bado unaona na kuamini kuwa mchawi ni akina Makamba na Nape?Jitafakari upya wewe pamoja na akili yako.