Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #21
Madhara ya kutojitambuaSukuma gang hii mbinu imefeli action speaks louder, mama anakimbiza balaa.
Mpishi wa data anapitwa kwa kasi ya utendaji.
Kwamba helkopta ilitakiwa kusimamia kupaka vibao vya mitaa?Uelewa wako ni mdogo hususan ktk kuchanganua aina ya usafiri wa helkopta na utekelezaji wa mradi wa anuani za makazi. Jielimishe zaidi kuhusu mambo haya.
Magufuli alitengeza kigenge cha wasukuma wapumbavu sanaUkiona mjuzi anakata kiuno tambua maumivu yamempata
Mchawi nani? Aliyewateua?Ni punguani peke yake ndiye anaweza kuamini kuwa mchawi ni Makamba au Nape🐒🐒🐒
Mbona mimi sio msukuma?Magufuli alitengeza kigenge cha wasukuma wapumbavu sana
Nape ,January na Riz ni mkosi kwa hili taifa vijana hawa kuwapo ndani ya serikali wakiwa na nyazifa kama walizo nazo sasa,Magufuli aliliona hili
Watu wanalalama kuwa kuna dalili ya ufisadi wa wazi kabisa ambao waziri Makamba ameonyesha waziwazi kwa kuipa kandarasi ya ajabuajabu kampuni ya Mahindra tech na zaidi ya bil 70 wanakula hao wahindi. Je kuna nini kipya wameleta ufanisi?
Bwawa la Nyerere lilikuwa lianze kujazwa maji tangu Nov 2021. January kwa makusudi akaleta mizengwe. Lilikuwa likamikike June mwaka huu na kusaidia wananchi kupunguza gharama za maisha. Lakini ndio hivyo tena.
Huyu anaijanasibu kuwa hili taifa ni mali ya wazazi wake kisa tu wazazi wake walikuwa ni waasisi wa CCM anatumia helkopta ya jeshi kuzurula hovyo kuandika vibao vya mitaa. Mkuu wa nchi anaona sawa.Hizo.gharama anazotumia si zingenjenga vyoo vya shule huko vijini ambako watoto wanahangaika?
Mawazili kama wanakwamisha maendeleo ya wananchi alafu rais anatamka wazi kuwa ni vijimaneno na wachape kazi tu.
Tutapigwa na vitu vizito kichwani mpaka lini?
Mbona mimi sio msukuma?
Umepost nini wewe pimbi? Hii ndo hoja husika?Hawa hawamkutii dhalimu maana mpaka sasa hivi hawajateka mtu, wala kumuua.
Kwani uongo? Wewe ni miongoni mwao.Mama anasema Watu wanawasengenya
Wananchi gani wana malalamiko sema wewe ndio unamalalamikoWatu wanalalama kuwa kuna dalili ya ufisadi wa wazi kabisa ambao waziri Makamba ameonyesha waziwazi kwa kuipa kandarasi ya ajabuajabu kampuni ya Mahindra tech na zaidi ya bil 70 wanakula hao wahindi. Je kuna nini kipya wameleta ufanisi?
Bwawa la Nyerere lilikuwa lianze kujazwa maji tangu Nov 2021. January kwa makusudi akaleta mizengwe. Lilikuwa likamikike June mwaka huu na kusaidia wananchi kupunguza gharama za maisha. Lakini ndio hivyo tena.
Huyu anaijanasibu kuwa hili taifa ni mali ya wazazi wake kisa tu wazazi wake walikuwa ni waasisi wa CCM anatumia helkopta ya jeshi kuzurula hovyo kuandika vibao vya mitaa. Mkuu wa nchi anaona sawa.Hizo.gharama anazotumia si zingenjenga vyoo vya shule huko vijini ambako watoto wanahangaika?
Mawazili kama wanakwamisha maendeleo ya wananchi alafu rais anatamka wazi kuwa ni vijimaneno na wachape kazi tu.
Tutapigwa na vitu vizito kichwani mpaka lini?
Unaishi hapa Tanzania?Wananchi gani wana malalamiko sema wewe ndio unamalalamiko
Toa ushahidi acha porojoWatu wanalalama kuwa kuna dalili ya ufisadi wa wazi kabisa ambao waziri Makamba ameonyesha waziwazi kwa kuipa kandarasi ya ajabuajabu kampuni ya Mahindra tech na zaidi ya bil 70 wanakula hao wahindi. Je kuna nini kipya wameleta ufanisi?
Bwawa la Nyerere lilikuwa lianze kujazwa maji tangu Nov 2021. January kwa makusudi akaleta mizengwe. Lilikuwa likamikike June mwaka huu na kusaidia wananchi kupunguza gharama za maisha. Lakini ndio hivyo tena.
Huyu anaijanasibu kuwa hili taifa ni mali ya wazazi wake kisa tu wazazi wake walikuwa ni waasisi wa CCM anatumia helkopta ya jeshi kuzurula hovyo kuandika vibao vya mitaa. Mkuu wa nchi anaona sawa.Hizo.gharama anazotumia si zingenjenga vyoo vya shule huko vijini ambako watoto wanahangaika?
Mawazili kama wanakwamisha maendeleo ya wananchi alafu rais anatamka wazi kuwa ni vijimaneno na wachape kazi tu.
Tutapigwa na vitu vizito kichwani mpaka lini?
CCM mmegawanyika.Mnachukiana ninyi kwa ninyi.Na aliyewagawanya mnamjua.Endeleeni hivyohivyo.Mola awarehemu.Watu wanalalama kuwa kuna dalili ya ufisadi wa wazi kabisa ambao waziri Makamba ameonyesha waziwazi kwa kuipa kandarasi ya ajabuajabu kampuni ya Mahindra tech na zaidi ya bil 70 wanakula hao wahindi. Je kuna nini kipya wameleta ufanisi?
Bwawa la Nyerere lilikuwa lianze kujazwa maji tangu Nov 2021. January kwa makusudi akaleta mizengwe. Lilikuwa likamikike June mwaka huu na kusaidia wananchi kupunguza gharama za maisha. Lakini ndio hivyo tena.
Huyu anaijanasibu kuwa hili taifa ni mali ya wazazi wake kisa tu wazazi wake walikuwa ni waasisi wa CCM anatumia helkopta ya jeshi kuzurula hovyo kuandika vibao vya mitaa. Mkuu wa nchi anaona sawa.Hizo.gharama anazotumia si zingenjenga vyoo vya shule huko vijini ambako watoto wanahangaika?
Mawazili kama wanakwamisha maendeleo ya wananchi alafu rais anatamka wazi kuwa ni vijimaneno na wachape kazi tu.
Tutapigwa na vitu vizito kichwani mpaka lini?
Wakati wa magu alitembea na msafara wa magari yasopungua 100 na ndege kibao hewani hamkulalamika. Mnalalamikia helcopta 1.Watu wanalalama kuwa kuna dalili ya ufisadi wa wazi kabisa ambao waziri Makamba ameonyesha waziwazi kwa kuipa kandarasi ya ajabuajabu kampuni ya Mahindra tech na zaidi ya bil 70 wanakula hao wahindi. Je kuna nini kipya wameleta ufanisi?
Bwawa la Nyerere lilikuwa lianze kujazwa maji tangu Nov 2021. January kwa makusudi akaleta mizengwe. Lilikuwa likamikike June mwaka huu na kusaidia wananchi kupunguza gharama za maisha. Lakini ndio hivyo tena.
Huyu anaijanasibu kuwa hili taifa ni mali ya wazazi wake kisa tu wazazi wake walikuwa ni waasisi wa CCM anatumia helkopta ya jeshi kuzurula hovyo kuandika vibao vya mitaa. Mkuu wa nchi anaona sawa.Hizo.gharama anazotumia si zingenjenga vyoo vya shule huko vijini ambako watoto wanahangaika?
Mawazili kama wanakwamisha maendeleo ya wananchi alafu rais anatamka wazi kuwa ni vijimaneno na wachape kazi tu.
Tutapigwa na vitu vizito kichwani mpaka lini?
Mtateseka sana watu wa magufoolismUna akili Duni sana!
Alokwambia Mpina anataka uwaziri Ni Nani.?
Wewe Ni waziri halafu unakuwa na wasiwasi wa kupokonywa uwaziri??
Ukiwa muoga wa kupokonywa ugali, basi Fanya kazi kwa juhudi zote na kwa maarifa
Jinga sana wewe waziri
Mambo ya kijinga kijinga kama haya hayasaidii kulinda na kutetea legacy..Watu wanalalama kuwa kuna dalili ya ufisadi wa wazi kabisa ambao waziri Makamba ameonyesha waziwazi kwa kuipa kandarasi ya ajabuajabu kampuni ya Mahindra tech na zaidi ya bil 70 wanakula hao wahindi. Je kuna nini kipya wameleta ufanisi?