remit ni huduma gani? Kama haihusishi bando basi tumia mitandao mingine kuipata.Tatizo la Zantel(Ezypesa), hawana connection nzuri na Worldremit!
Fact mkuu ndo mana kila anayekuja anakuwa mpole tunabaki kupiga kelele tu hamna solutionhakuna cha voda wala tigo wote ni majambazi watupu!
Kila waziri anakuja na matumaini makubwa ya kutuokoa na wizi huu lkn huwa 'wanatulizwa' na mitandao hii kisha wanatuacha solemba! kumbekeni january makamba'alivyotulizwa' na story ikaisha, huenda hata Ndugulile akafanywa hivyohivyo kama mwenzie makamba (ila najua ndugulile sio wa aina ya makamba)!
Halotelmnahamia wapi labda kwa mfano?
kabla ya tare 1 February makampuni yote yatakuwa yamepandisha gharama za vifurushi.Halotel