Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

Tigo nadhani ni kampuni yenye watumishi ambao kimaadili wana shida fulani what i can say sijawahi kukopa tigo hata siku moja kuna siku nilipatwa na shida fulani nikawa najaribu kukopa hapa ndipo niliposhangaa eti nadaiwa na natakiwa kulipa deni hopeless hopeless
 
Mnazidi tu kushusha
3000 mb 500
Huo ni ujinga
Screenshot_20210130-093034.jpg
 
hakuna cha voda wala tigo wote ni majambazi watupu!
Kila waziri anakuja na matumaini makubwa ya kutuokoa na wizi huu lkn huwa 'wanatulizwa' na mitandao hii kisha wanatuacha solemba! kumbekeni j
anuary makamba'alivyotulizwa' na story ikaisha, huenda hata Ndugulile akafanywa hivyohivyo kama mwenzie makamba (ila najua ndugulile sio wa aina ya makamba)!
 
Fact mkuu ndo mana kila anayekuja anakuwa mpole tunabaki kupiga kelele tu hamna solution
 
Back
Top Bottom