konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
Tatizo ni Tigo au bei elekezi ya TCRA?Huu sasa ni upuuzi. Eti sasa hivi Tigo bei ya gb 1 kwa wiki ni TZS 3,000. Kabla ya hii bei ilikuwa gb2 TZS 3,000. Kabla ya hapo ilikuwa kama sikosei GB1 ilikuwa 1,000. Yaani hawa jamaa kila siku wanazidi kushusha idadi ya gb na kupandisha bei. Serikali tunaomba muingilie kati hili swala. Haya makampuni sasa yamegeuka kuwa ya kinyonyaji badala ya kuwa msaada kwa wananchi.
Sasa kwani sisi tuko hiyo nchi nyingine?Ukweli ni kua Tanzania ni nchi ambayo gharama za data ziko chini sana. Nchi nyingi bando la 1GB ni zaidi ya 10,000.
Sasa wewe 1GB 3,000 unalalamika? Tena tukiwauchumi wa kati?
Free MARKET!Huu sasa ni upuuzi. Eti sasa hivi Tigo bei ya gb 1 kwa wiki ni TZS 3,000. Kabla ya hii bei ilikuwa gb2 TZS 3,000. Kabla ya hapo ilikuwa kama sikosei GB1 ilikuwa 1,000. Yaani hawa jamaa kila siku wanazidi kushusha idadi ya gb na kupandisha bei. Serikali tunaomba muingilie kati hili swala. Haya makampuni sasa yamegeuka kuwa ya kinyonyaji badala ya kuwa msaada kwa wananchi.
Biashara huria imekua huria wanaamua watakavyo tu Tigo wapuuzi kabisa wanapandisha gharama za maisha bila kutathmini madhara kwa Wananchi wa kawaida.Huu sasa ni upuuzi. Eti sasa hivi Tigo bei ya GB 1 kwa wiki ni TZS 3,000. Kabla ya hii bei ilikuwa GB 2 TZS 3,000. Kabla ya hapo ilikuwa kama sikosei GB1 ilikuwa 1,000. Yaani hawa jamaa kila siku wanazidi kushusha idadi ya gb na kupandisha bei. Serikali tunaomba muingilie kati hili swala. Haya makampuni sasa yamegeuka kuwa ya kinyonyaji badala ya kuwa msaada kwa wananchi.
Inategemea uchumi wa nchi husika. Kwa wastani US mtu analipwa dola 7.5 kwa saa, Tanzania tunaishi chini ya dola 1 kwa siku. So kwa US gb 1 kwa 10,000 ni sawa na wage ya dakika 1. kwa Tanzania ni mshahara wa siku 10.Ukweli ni kua Tanzania ni nchi ambayo gharama za data ziko chini sana. Nchi nyingi bando la 1GB ni zaidi ya 10,000.
Sasa wewe 1GB 3,000 unalalamika? Tena tukiwauchumi wa kati?
Uchumi wa katiHuu sasa ni upuuzi. Eti sasa hivi Tigo bei ya GB 1 kwa wiki ni TZS 3,000. Kabla ya hii bei ilikuwa GB 2 TZS 3,000. Kabla ya hapo ilikuwa kama sikosei GB1 ilikuwa 1,000. Yaani hawa jamaa kila siku wanazidi kushusha idadi ya gb na kupandisha bei. Serikali tunaomba muingilie kati hili swala.
Haya makampuni sasa yamegeuka kuwa ya kinyonyaji badala ya kuwa msaada kwa wananchi.