Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

Huu sasa ni upuuzi. Eti sasa hivi Tigo bei ya GB 1 kwa wiki ni TZS 3,000. Kabla ya hii bei ilikuwa GB 2 TZS 3,000. Kabla ya hapo ilikuwa kama sikosei GB1 ilikuwa 1,000. Yaani hawa jamaa kila siku wanazidi kushusha idadi ya gb na kupandisha bei. Serikali tunaomba muingilie kati hili swala.

Haya makampuni sasa yamegeuka kuwa ya kinyonyaji badala ya kuwa msaada kwa wananchi.
 
Huu sasa ni upuuzi. Eti sasa hivi Tigo bei ya gb 1 kwa wiki ni TZS 3,000. Kabla ya hii bei ilikuwa gb2 TZS 3,000. Kabla ya hapo ilikuwa kama sikosei GB1 ilikuwa 1,000. Yaani hawa jamaa kila siku wanazidi kushusha idadi ya gb na kupandisha bei. Serikali tunaomba muingilie kati hili swala. Haya makampuni sasa yamegeuka kuwa ya kinyonyaji badala ya kuwa msaada kwa wananchi.
Tatizo ni Tigo au bei elekezi ya TCRA?
 
Ukweli ni kuwa Tanzania ni nchi ambayo gharama za data ziko chini sana. Nchi nyingi bando la 1GB ni zaidi ya 10,000.

Sasa wewe 1GB 3,000 unalalamika? Tena tukiwa uchumi wa kati?
 
Kwel mkuu hap smartphone kwa hili zinatufilisi, mitandao inapandisha bei za vifurushi kila kukuchapa leo juz halotel wametoa kifurushi cha usiku cha 1500 mb bila kikomo kuanzia sita night mpka kumi na mbil asubuhi
 
Huu sasa ni upuuzi. Eti sasa hivi Tigo bei ya gb 1 kwa wiki ni TZS 3,000. Kabla ya hii bei ilikuwa gb2 TZS 3,000. Kabla ya hapo ilikuwa kama sikosei GB1 ilikuwa 1,000. Yaani hawa jamaa kila siku wanazidi kushusha idadi ya gb na kupandisha bei. Serikali tunaomba muingilie kati hili swala. Haya makampuni sasa yamegeuka kuwa ya kinyonyaji badala ya kuwa msaada kwa wananchi.
Free MARKET!
Kumbuka kifurushi ni huruma ya mtandao!
Serikali haitambui vifurushi Bali inachotambua ni kiwango cha kupiga full stop!
Mambo ya vifurushi ni soko Huria
 
Huu sasa ni upuuzi. Eti sasa hivi Tigo bei ya GB 1 kwa wiki ni TZS 3,000. Kabla ya hii bei ilikuwa GB 2 TZS 3,000. Kabla ya hapo ilikuwa kama sikosei GB1 ilikuwa 1,000. Yaani hawa jamaa kila siku wanazidi kushusha idadi ya gb na kupandisha bei. Serikali tunaomba muingilie kati hili swala. Haya makampuni sasa yamegeuka kuwa ya kinyonyaji badala ya kuwa msaada kwa wananchi.
Biashara huria imekua huria wanaamua watakavyo tu Tigo wapuuzi kabisa wanapandisha gharama za maisha bila kutathmini madhara kwa Wananchi wa kawaida.
Ukizingatia kwa sasa matumizi yq Internet na muda wa maongezi haviepukiki.
 
Ukweli ni kua Tanzania ni nchi ambayo gharama za data ziko chini sana. Nchi nyingi bando la 1GB ni zaidi ya 10,000.

Sasa wewe 1GB 3,000 unalalamika? Tena tukiwauchumi wa kati?
Inategemea uchumi wa nchi husika. Kwa wastani US mtu analipwa dola 7.5 kwa saa, Tanzania tunaishi chini ya dola 1 kwa siku. So kwa US gb 1 kwa 10,000 ni sawa na wage ya dakika 1. kwa Tanzania ni mshahara wa siku 10.
 
Huu sasa ni upuuzi. Eti sasa hivi Tigo bei ya GB 1 kwa wiki ni TZS 3,000. Kabla ya hii bei ilikuwa GB 2 TZS 3,000. Kabla ya hapo ilikuwa kama sikosei GB1 ilikuwa 1,000. Yaani hawa jamaa kila siku wanazidi kushusha idadi ya gb na kupandisha bei. Serikali tunaomba muingilie kati hili swala.

Haya makampuni sasa yamegeuka kuwa ya kinyonyaji badala ya kuwa msaada kwa wananchi.
Uchumi wa kati
 
Leo nilikuwa najaribu kujiunga kifurushi cha internet mwezi kutoka Tigo, ambapo nilikuwa napata GB 7 kwa sh 10,000/=

Ila kwasasa hiyo Sh 10,000/= napewa GB 2.5

Kwa uchumi huu wa kati tunaelekea wapi?

Ni muda sasa wa kuanza kuhama huu mtandao, maana vifurushi vya data kutoka tigo havishikiki kabisaaa.

Mtandao gani kwa sasa una nafuu kuliko Zantel?
 
Wa halotel wanacheka hivi
1611514847124.jpg

Ila wangejua yajayo yanafurahisha
 
Back
Top Bottom