konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
Kweli wewe punguwani. Data ni anasa? Dah! unahasara kinyama mkuu. Yaani hata hujui kuna watu wanafanya kazi kwa kutumia internet? Hakuna ofisi yeyote isiyotumia data.Iko hivi, data ni anasa, huwezani nazo achana nazo sio unakuja kulia lia hapa.
Kama 3,000 ya data inakuliza, utaweza kweli kuhoji akili yangu mimi?
mitano tenaBasi watakuja wadau watakoment "Mitano tena 🖐🏼"
😂😂😂mbuzi hao, leo wamenishangaza sana eti 10k combo nipate GB 1.5 kwa mweziTigo hawanipati tena,chakufia nini mtoto wa watu
Nmetoa 1m hapa wamekata 8000....yaan elfu 8 ya fastaaa..huu ni unyonyajHuu sasa ni upuuzi. Eti sasa hivi Tigo bei ya GB 1 kwa wiki ni TZS 3,000. Kabla ya hii bei ilikuwa GB 2 TZS 3,000. Kabla ya hapo ilikuwa kama sikosei GB1 ilikuwa 1,000. Yaani hawa jamaa kila siku wanazidi kushusha idadi ya gb na kupandisha bei. Serikali tunaomba muingilie kati hili swala.
Haya makampuni sasa yamegeuka kuwa ya kinyonyaji badala ya kuwa msaada kwa wananchi.
Kwangu mimi transaction kubwa napitishia bank. Mitandao hii ni majanga.Nmetoa 1m hapa wamekata 8000....yaan elfu 8 ya fastaaa..huu ni unyonyaj
tena mbuzi mzazi mwenye uso usio na haya😂😂😂mbuzi hao, leo wamenishangaza sana eti 10k combo nipate GB 1.5 kwa mwezi
🔥✨💫🔥Hamna anayemkuta Zantel
Si wamesema watawasha na Tigo zenu Jumamosi hii [emoji23]
Hata me nikama wewe mkuu yaani toka buku mpka buku tatu kwa gb 1 na sms 100 na dakika 120 kweli cjui voda wanatuonaje.
Mitano tena
Kwenye vifurushi wakoje na speed ya mtandaoo wao?niretee gwajimaaa
Njoo Halotel
Kweli kama wanaendana hali tuliyonayo kwa sasa....niretee gwajimaaa
Njoo Halotel