Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

Nilikia najiunga vifurushi vya Tigo muda si mrefu,khe!kuangalia menu naona wamepandisha gharama kwa 100% na kupunguza huduma.

Ndio nikageukia vifurushi vya TTCL(laini ninayo),nikaona kwa robo ya gharama ya TTCL unapata huduma mara 2 zaidi kwa Tigo.

Waungwana na wapenda maendeleo wote naomba tuhamie TTCL haraka iwezekanavyo.....nina uhakika hata hapo ofisi ya Tigo makao makuu wote watakua wanatumia TTCL .

1.vifurushi vya TTCL vya wiki
Screenshot_20210126-140655.jpg


2.Vifurushi vya Tigo vya wiki
1611661076879.png
 
Wale watu ninaofahamiana nao wakijua kuwa sipatikani kwenye number ya tigo kisa nimekimbia gharama ya kupiga simu. Itakuwaje?
 
Nilikia najiunga vifurushi vya Tigo muda si mrefu,khe!kuangalia menu naona wamepandisha gharama kwa 100% na kupunguza huduma...
Kwa siku kwa wiki au kwa mwezi
 
Kuna aliyewahi kutumia tiririka data ya voda kwa kudownload chochote mtandaoni?
 
Tigo na voda zimebaki kuwa laini za kupokea simu tu.

Mambo yote halotel
Screenshot_20210126-153536_Phone.jpg
 
Tigo na voda zimebaki kupokea simu tu.

Mambo yote halotel
Screenshot_20210126-153536_Phone.jpg
 
Back
Top Bottom