Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,667
- 2,595
Karibu TTCL mkuuTigo bana inabidi sasa iwe ni laini ya kupokea miamala na mawasiliano ya Mara moja kwa mwezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu TTCL mkuuTigo bana inabidi sasa iwe ni laini ya kupokea miamala na mawasiliano ya Mara moja kwa mwezi
Embu lete menu ya ttcl unayoisifia....Karibu TTCL mkuu
Wale watu ninaofahamiana nao wakijua kuwa sipatikani kwenye number ya tigo kisa nimekimbia gharama ya kupiga simu. Itakuwaje?
Kwa siku kwa wiki au kwa mweziNilikia najiunga vifurushi vya Tigo muda si mrefu,khe!kuangalia menu naona wamepandisha gharama kwa 100% na kupunguza huduma...
Hata mimi