Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

Nani kakulazimisha kutumia Tigo?,umeshikiwa bunduki?,kwani mtandao ni Tigo tu hapa Tanzania?
 
Vodacom
Kwa elfu moja, napata GB 1, dk 100 (mitandao yote) na sms za kutosha kwa siku 3

Nikija Halotel
Kwa elfu moja, napata GB , dk10 na vi sms vya kutosha kwa siku 7

Chaguo ni lako mkuu, fanya uchaguzi sahihi.
Hawa atleast wanaonyesha uzalendo hata kama watabadilika kwa badae ..
 
Back
Top Bottom