Malalamiko ya Yanga kuhusu refa Kayomba ni ya kijinga

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
mzeewajambia_eb04f812005c4748ab5e3c8c7735a7fb.jpg

Nimecheki hii orodha baada ya Kusikia Mwamuzi Kepha Kayombo amechezesha mechi nyingi za Simba Sports

KEPHA KAYOMBO. Amechezesha Mechi hizi za simba Sports

Vs Jkt Tanzania
Vs Coastal Union
Vs Tabora United

SHOMARI LAWI nae amechezesha mechi 3 za Simba Sports .Yani

Vs Singida Black Stars
Vs Fountain Gate
Vs KMC

OMARI MDOE yeye ana mechi 2 ,Yani Dhidi ya Mashujaa na Dodoma Jiji.

Waamuzi wengine 8 waliobaki wote wamechezesha mechi moja moja za Simba Sports.
 
Makolo mna matatizo sana. Mechi na Singida muamuzi alishindwa kuhimili mechi na ikapita. Maamuzi mengine mengi yalikua yanafanywa kwenye mechi nyingine ambayo hayakua na usawa.

Haya sio malalamiko ya wana Yanga ni malalamiko ya mashabiki wanaoitakia mema ligi namba nne kwa ubora Africa. Hivyo hata Yanga, Namungo, Ken Gold au Azam ikitokea amependelewa kama mashabiki tutasema tu. Mfano Azam dhidi ya Pamba mechi za mwanzo alipendelewa mbona watu walisema. Bacca alipofunga la mkono watu walisema.

Acheni kujiona special
 
Bao apigwe Tabora ,vyura walie nchi nzima,mna akili kweli?

Ubora wa ligi unapimwa na mafanikio kimataifa.
Kama wewe na timu lako mlinunua mechi mwaka jana mkashinda ligi na kumbe hamna viwango huo ndio uhuni unaweza kuishusha thamani ligi.
Bingwa wa ligi namba 4 anashindwaje kwenda robo fainali?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Sifa Kwa marefa ziendelee hivi hivi hadi mwishoni mwa Ligi !

Isije kufika sehemu mkaanza lawama zenu Kwa marefa na zigo mkambebesha GSM maana nyie Makolo hamchelewi!

Marefa kwasasa wanachezesha vizuri na lawama hamna,tatizo la kuonekana tuna Marefa wabovu ni ambapo Yanga ataongoza ligi !

Kwasasa zile kelele za GSM anaharibu ligi hakuna mahala zinasikika maana Makolo wanacheka hadi Magego ya mwisho yanaonekana !

Kelele zitasikika Yanga akikaa kileleni,na Wala siyo mbali,ni suala la muda tu!
 
View attachment 3225055
Nimecheki hii orodha baada ya Kusikia Mwamuzi Kepha Kayombo amechezesha mechi nyingi za Simba Sports

KEPHA KAYOMBO. Amechezesha Mechi hizi za simba Sports

Vs Jkt Tanzania
Vs Coastal Union
Vs Tabora United

SHOMARI LAWI nae amechezesha mechi 3 za Simba Sports .Yani

Vs Singida Black Stars
Vs Fountain Gate
Vs KMC

OMARI MDOE yeye ana mechi 2 ,Yani Dhidi ya Mashujaa na Dodoma Jiji.

Waamuzi wengine 8 waliobaki wote wamechezesha mechi moja moja za Simba Sports.
Hofu ya kuukosa Ubingwa inawasumbua!
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Acha kupotosha jombi, wao hawakulalamikia kayombo, mechi za simba zina malalamiko mengi bila kujali ni kayombo au tatu malogo. Tff kuna ulaz,ima gani kumpangia refa anaye lalamikiwa kila siku kwa maamuzi tata!
 
Bingwa wa ligi namba 4 anashindwaje kwenda robo fainali?
Wewe kweli unaumwa ukiwa bingwa wa ligi ndio inakupa nafasi gani kuingia robo? Halafu unasema robo tu husemi ni ya mashindano gani. Na muhakikishe mnavaa medali otherwise tutawapopoa mjute kuzaliwa dadeki
 
Sifa Kwa marefa ziendelee hivi hivi hadi mwishoni mwa Ligi !

Isije kufika sehemu mkaanza lawama zenu Kwa marefa na zigo mkambebesha GSM maana nyie Makolo hamchelewi!

Marefa kwasasa wanachezesha vizuri na lawama hamna,tatizo la kuonekana tuna Marefa wabovu ni ambapo Yanga ataongoza ligi !

Kwasasa zile kelele za GSM anaharibu ligi hakuna mahala zinasikika maana Makolo wanacheka hadi Magego ya mwisho yanaonekana !

Kelele zitasikika Yanga akikaa kileleni,na Wala siyo mbali,ni suala la muda tu!
Sio kwamba tatizo la marefa hakuna,mnabebwa sana nyie utopolo hadi magoli ya mkono mnayo.
Na mnaifanya ligi iwe dhaifu kwa kuhonga wachezaji wa timu pinzani ili eti dube apate takwimu.
Uhuni huu utawafanya muishie makundi kila mwaka maana hampati upinzani wa kweli kwenye ligi

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 3225055
Nimecheki hii orodha baada ya Kusikia Mwamuzi Kepha Kayombo amechezesha mechi nyingi za Simba Sports

KEPHA KAYOMBO. Amechezesha Mechi hizi za simba Sports

Vs Jkt Tanzania
Vs Coastal Union
Vs Tabora United

SHOMARI LAWI nae amechezesha mechi 3 za Simba Sports .Yani

Vs Singida Black Stars
Vs Fountain Gate
Vs KMC

OMARI MDOE yeye ana mechi 2 ,Yani Dhidi ya Mashujaa na Dodoma Jiji.

Waamuzi wengine 8 waliobaki wote wamechezesha mechi moja moja za Simba Sports.
ARAJIGA, SAAD MROPE, NASSOR MWINCHUI, RAMADHAN KAYOKO...HAWA SI WAAMUZI WA MAANA KWA MAKOLO...KWA SABABU HAWA WANAZIHESHIMU KAZI ZAO NA HAWADANGANYIKI KWA PESA NA HAWABABAIKI NA JINA LA TIMU...WENYEWE HATA KAMA PENATI IMETOKEA KWA YANGA AU SIMBA DHIDI HATA YA LIPULI FC...WENYEWE WANAFUNIKA...LAKINI UKIANGALIA MAREFA AMBAO SIMBA HAWAWALALAMIKII NDIO WANAOZALISHA MAKOSA MENGI MNO...NA YENYE FAIDA UPANDE WAO...NA HAO NDIO MAANA WANAWEZA WASIJIRUDIE MARA NYINGI KWENYE MECHI KUBWA...NDIO MAANA SIMBA IMECHEZESHWA NA WAAMUZI WENYE UWEZO WA KAWAIDA TOFAUTI TOFAUTI WENGI...ILA CHA KUSTAAJABISHA KWANINI MECHI ZA SIMBA HAWAPEWI MAREFA BORA..? Kwanini mechi za yanga waamuzi bora wanajirudia, kwa sababu makosa ni nadra sana alafu they are very comfortable...hawababaishwi na mashabiki... HATA LINES MAN HUWEZI MUONA FRANK KOMBA WALA YULE WA TANGA...UNAKUTA VINAPEWA VIBINT SIJUI VINATOKEAGA WAPI KWENYE MECHI ZA SIMBA TU..?
 
View attachment 3225055
Nimecheki hii orodha baada ya Kusikia Mwamuzi Kepha Kayombo amechezesha mechi nyingi za Simba Sports

KEPHA KAYOMBO. Amechezesha Mechi hizi za simba Sports

Vs Jkt Tanzania
Vs Coastal Union
Vs Tabora United

SHOMARI LAWI nae amechezesha mechi 3 za Simba Sports .Yani

Vs Singida Black Stars
Vs Fountain Gate
Vs KMC

OMARI MDOE yeye ana mechi 2 ,Yani Dhidi ya Mashujaa na Dodoma Jiji.

Waamuzi wengine 8 waliobaki wote wamechezesha mechi moja moja za Simba Sports.
Dalili ya kukata tamaa!
 
Side Ramadhani katupa taulo jeupe.Inadaiwa ameomba kuondoka.Kazi imemshinda.
Ukisikia kelele za chura zimekuwa nyingi jua masika ipo karibu
 
Back
Top Bottom