Malalamiko ya Yanga kuhusu refa Kayomba ni ya kijinga

Malalamiko ya Yanga kuhusu refa Kayomba ni ya kijinga

Sifa Kwa marefa ziendelee hivi hivi hadi mwishoni mwa Ligi !

Isije kufika sehemu mkaanza lawama zenu Kwa marefa na zigo mkambebesha GSM maana nyie Makolo hamchelewi!

Marefa kwasasa wanachezesha vizuri na lawama hamna,tatizo la kuonekana tuna Marefa wabovu ni ambapo Yanga ataongoza ligi !

Kwasasa zile kelele za GSM anaharibu ligi hakuna mahala zinasikika maana Makolo wanacheka hadi Magego ya mwisho yanaonekana !

Kelele zitasikika Yanga akikaa kileleni,na Wala siyo mbali,ni suala la muda tu!
Ally kamwe umesikia alichoongea kuhusu ushindi wa simba?
 
Back
Top Bottom