OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Chupi zimelowa.Migongowazi wanaweweseka.Kwani wanasemaje hao uto
Una uhakika kila game?Yaache yabweke mambwambwa kwani yameona wazi kabisa kosi la mnyama lipo siriaz na kila game msimuhuu, hivyo hayajasema mpaka yaseme.
Bao apigwe Tabora ,vyura walie nchi nzima,mna akili kweli?Makolo mna matatizo sana. Mechi na Singida muamuzi alishindwa kuhimili mechi na ikapita. Maamuzi mengine mengi yalikua yanafanywa kwenye mechi nyingine ambayo hayakua na usawa.
Haya sio malalamiko ya wana Yanga ni malalamiko ya mashabiki wanaoitakia mema ligi namba nne kwa ubora Africa. Hivyo hata Yanga, Namungo, Ken Gold au Azam ikitokea amependelewa kama mashabiki tutasema tu. Mfano Azam dhidi ya Pamba mechi za mwanzo alipendelewa mbona watu walisema. Bacca alipofunga la mkono watu walisema.
Acheni kujiona special
Hofu ya kuukosa Ubingwa inawasumbua!View attachment 3225055
Nimecheki hii orodha baada ya Kusikia Mwamuzi Kepha Kayombo amechezesha mechi nyingi za Simba Sports
KEPHA KAYOMBO. Amechezesha Mechi hizi za simba Sports
Vs Jkt Tanzania
Vs Coastal Union
Vs Tabora United
SHOMARI LAWI nae amechezesha mechi 3 za Simba Sports .Yani
Vs Singida Black Stars
Vs Fountain Gate
Vs KMC
OMARI MDOE yeye ana mechi 2 ,Yani Dhidi ya Mashujaa na Dodoma Jiji.
Waamuzi wengine 8 waliobaki wote wamechezesha mechi moja moja za Simba Sports.
Wewe kweli unaumwa ukiwa bingwa wa ligi ndio inakupa nafasi gani kuingia robo? Halafu unasema robo tu husemi ni ya mashindano gani. Na muhakikishe mnavaa medali otherwise tutawapopoa mjute kuzaliwa dadekiBingwa wa ligi namba 4 anashindwaje kwenda robo fainali?
Sio kwamba tatizo la marefa hakuna,mnabebwa sana nyie utopolo hadi magoli ya mkono mnayo.Sifa Kwa marefa ziendelee hivi hivi hadi mwishoni mwa Ligi !
Isije kufika sehemu mkaanza lawama zenu Kwa marefa na zigo mkambebesha GSM maana nyie Makolo hamchelewi!
Marefa kwasasa wanachezesha vizuri na lawama hamna,tatizo la kuonekana tuna Marefa wabovu ni ambapo Yanga ataongoza ligi !
Kwasasa zile kelele za GSM anaharibu ligi hakuna mahala zinasikika maana Makolo wanacheka hadi Magego ya mwisho yanaonekana !
Kelele zitasikika Yanga akikaa kileleni,na Wala siyo mbali,ni suala la muda tu!
ARAJIGA, SAAD MROPE, NASSOR MWINCHUI, RAMADHAN KAYOKO...HAWA SI WAAMUZI WA MAANA KWA MAKOLO...KWA SABABU HAWA WANAZIHESHIMU KAZI ZAO NA HAWADANGANYIKI KWA PESA NA HAWABABAIKI NA JINA LA TIMU...WENYEWE HATA KAMA PENATI IMETOKEA KWA YANGA AU SIMBA DHIDI HATA YA LIPULI FC...WENYEWE WANAFUNIKA...LAKINI UKIANGALIA MAREFA AMBAO SIMBA HAWAWALALAMIKII NDIO WANAOZALISHA MAKOSA MENGI MNO...NA YENYE FAIDA UPANDE WAO...NA HAO NDIO MAANA WANAWEZA WASIJIRUDIE MARA NYINGI KWENYE MECHI KUBWA...NDIO MAANA SIMBA IMECHEZESHWA NA WAAMUZI WENYE UWEZO WA KAWAIDA TOFAUTI TOFAUTI WENGI...ILA CHA KUSTAAJABISHA KWANINI MECHI ZA SIMBA HAWAPEWI MAREFA BORA..? Kwanini mechi za yanga waamuzi bora wanajirudia, kwa sababu makosa ni nadra sana alafu they are very comfortable...hawababaishwi na mashabiki... HATA LINES MAN HUWEZI MUONA FRANK KOMBA WALA YULE WA TANGA...UNAKUTA VINAPEWA VIBINT SIJUI VINATOKEAGA WAPI KWENYE MECHI ZA SIMBA TU..?View attachment 3225055
Nimecheki hii orodha baada ya Kusikia Mwamuzi Kepha Kayombo amechezesha mechi nyingi za Simba Sports
KEPHA KAYOMBO. Amechezesha Mechi hizi za simba Sports
Vs Jkt Tanzania
Vs Coastal Union
Vs Tabora United
SHOMARI LAWI nae amechezesha mechi 3 za Simba Sports .Yani
Vs Singida Black Stars
Vs Fountain Gate
Vs KMC
OMARI MDOE yeye ana mechi 2 ,Yani Dhidi ya Mashujaa na Dodoma Jiji.
Waamuzi wengine 8 waliobaki wote wamechezesha mechi moja moja za Simba Sports.
Kabrush kidogo memukwa iliyopo karibu naweYaache yabweke mambwambwa kwani yameona wazi kabisa kosi la mnyama lipo siriaz na kila game msimuhuu, hivyo hayajasema mpaka yaseme.
Dalili ya kukata tamaa!View attachment 3225055