Oppomall
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,683
- 3,966
Kuwa muwazi kwa hili jamani
1- mlinzi Ni sh ngapi kwa mwezi kwa mwaka Hawa kwa wanafunzi wote??
2--maji na umeme Ni Bei gani kwa mwezi na kwa mwaka pia Mana umeme najua Ni mwanga tu kumulika Ni hela ndogo mno.
3-- uendeshaji wa shule vipi ,yaani Ni Nini kinachohitajika hapa si waweke wazi kuwa serikali haiwezi kuendesha shule zake. Mkuu ana fungu lake,kuweni wakweli ama mnataka hela kijanja janja.
Lebo 5k,id 5k kweli hii thamani inafika. Na sio kuwa mnawapenda hao watt kuliko wazazi wao.
Unazungumzia watoto wote na yupi? Tunazungumzia bajeti ya mwanao, ukiweka hapo 65,000 ukaambiwa ulipe mlinzi, mpishi, maintance, dharula, matron, patron, maji,umeme nk utaweza?
Zungumzia 65k yako
Hao wengine unawatoa wapi?