DOKEZO Malalamiko yaendelea kuhusu malipo ya 'Mchango wa Uendeshaji wa Shule Tsh 65,000' licha ya Serikali kufuta ada

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Unazungumzia watoto wote na yupi? Tunazungumzia bajeti ya mwanao, ukiweka hapo 65,000 ukaambiwa ulipe mlinzi, mpishi, maintance, dharula, matron, patron, maji,umeme nk utaweza?
Zungumzia 65k yako
Hao wengine unawatoa wapi?
 
Kama mzazi hata kama niko kwenye list ya TASAF siwezi tegema serikali ktk malezi ya watoto kielimu. Maana walimu wenyewe ni wahanga ktk kipato, huyu huyu hapewi vitendea kazi vya kutosha, mazingira ya kazi mabaya, Darasa lina wanafunzi 100 hata pakusimama Hana... Nisipofanya jitihada ya kusaidia hayo mambo Macha he ili mwanangu asome, nitakuwa mjinga... Elimu ni investment ya muda mrefu ktj maisha, ni vema kunyenyekea mwanangu asome vema kuliko kubisha nitegemee Serikali wakati waliopo huko juu wana gawana Mali za nchi... Saa ngapi watakumbuka shule yangu huku kijijini nyang'wale haina chaki, au vitabu vya science watuletee. Mzazi mjue hamna cha bure, popote ukiambiwa bure ujue ni gharama zaidi kuliko kitu chenye price tag🙏
 
Hili limama sijui lilitokea wapi? Liongo na lijizi linawaza kuuza bandari tu!
Anataka kujilipa akistaafu kizazi chake kile kuku kwa mrija milele mkuu. Wengine wameshajimilikisha gesi, na wengine madini so hapo ndipo palipobakia penye asali nzuri mno.
Mktaba umekaa kificho,kuwa wasamehewe Kodi na huku sie tunalipishwa Kodi kwa hela ambayo tayari imeshakatwa Kodi kwenye miamala na bank Ila yeye wa Kuja asamehewe na hauna kikomo ili iweje.yaani hakuna kukata Kodi faid yake anasamehewa. Ila afrika bana sijui Ni umasikini unaisumbua
 
Unazungumzia watoto wote na yupi? Tunazungumzia bajeti ya mwanao, ukiweka hapo 65,000 ukaambiwa ulipe mlinzi, mpishi, maintance, dharula, matron, patron, maji,umeme nk utaweza?
Zungumzia 65k yako
Hao wengine unawatoa wapi?
Mbona Kama unaitetea fulani. Mwishowe utaniambia kuwa Kodi yangu itaweza kujenga barabara. Yaani mie Kama mie Kodi nayolipa inatosha kujenga shule , hospital,nk.
So kwa akili yako unajua kuwa Ni 65k pekee inakusanywa kwako ama kwangu unaiona ndogo. Piga mfano kwa wanafunzi alfu moja ndio utajua kuwa Ni sh ngapi na upewe mchanganuo wake unatumikaje. Jamaa mishahara kidogo mno hata kuhonga ama kununua malaya haitoshi so wanabakia kuongelea vitu ambavyo havina mantiki.
So wao ndio Wana uchungu na taifa. Acha wale hela za Lebo na kitambulisho na huku id zikiwa nyingi stationary zinatengenezewa buku buku kila Moja wao wanaweka alfu tano. Ndio Mana traffic anastaafu bado anabana road fulani anakamua madereva hela za buku mbilimbili.
Mana neurons zake zimeshazoea hela za kijanja janja ambao hauna mbele Wala nyuma.


Mie nimekuuliza kuwa wakati wa jpm mbona hizi mambo hazikuwemo ama ndio twisheni mpaka naseri utadhani kuwa ndio guarantee ya kufaulu na ilhali walimu wenyewe walifeli ama kufaulu ufaulu hafifu na wengine wameokoteza elimu na vyeti lundo
 
Hao walimu waliofeli ndo wamekufanya uweze kuandika huo utopolo
 
Hakuna wanachoweza!! Sasa hv inapita hd miez mitatu pesa ya elimu bure hawajaweka, na bado kile kipesa hakiwezi kuendesha shule hata siku 1. Kuna shule hadi kupata copy ya mitihani wanaomba shule jirani wanachoweza kuchangia ni karatasi tu.
 
Usipende kitonga sana na kutusi watu kisa ka 65k mwaka mzima. Iambie serikali ikawawajibishe hao wanaokula pesa zako
 
Ingia kwenye field ujionee!! Hutotamani mwanao asomee hapo kama utahitaji education with zero cost.
 
Hakuna wanachoweza!! Sasa hv inapita hd miez mitatu pesa ya elimu bure hawajaweka, na bado kile kipesa hakiwezi kuendesha shule hata siku 1. Kuna shule hadi kupata copy ya mitihani wanaomba shule jirani wanachoweza kuchangia ni karatasi tu.
Kwani wao kazi yao hao walimu hawana Ile job description zao
 
Mshahara hautoshi nini teacher
Wa kwako unatosha? Ungetosha hata usingepeleka mwanao kusomesha shule za 65k ya malalamiko. Ulishaona mshahara wa nani ukamtosha?? Zero cost itawaua ndo maana tunakuwa na kizazi cha wanaume kuhitaji mijimama iwalee kisa kukwepa majukumu.
 
Wa kwako unatosha? Ungetosha hata usingepeleka mwanao kusomesha shule za 65k ya malalamiko. Ulishaona mshahara wa nani ukamtosha?? Zero cost itawaua ndo maana tunakuwa na kizazi cha wanaume kuhitaji mijimama iwalee kisa kukwepa majukumu.
You're narrating reason to your already established beliefs and emotions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…