#COVID19 Malaria ndio inaua zaidi kuliko COVID19, mbona nguvu nyingi ziko kwenye COVID19

Acha uboya ,mada inasema malaria inaua sana kuliko kovid ,nikasema wekeni hizo data tuzione.

Kuhusu takwimu za simbachawene tambua yeye anapata taarifa za nchi nzima kutoka kwenye vyombo vyake kama unabishana naye basi we endelea kubisha.


We ndo bure kabisa, si umuige hata mwenzio kiranga anatetea hoja zake kwa takwimu, sasa wewe eti wekeni hapa data tuzione la sivyo we endelea kumbishia simbachawene.

This argument is too deep for you, jifunze kwanza basic data analysis then basic number argumentation ndo uje , acha niendelee na kiranga we kwangu bado learner.
 

Mimi sina tatizo na mlio/mnao chanja, ila nina tatizo kubwa na hizo promo za chanjo along with analysis uchwara.

Mi napenda mchanjwe hivyo hivyo kama panya wa majaribio ili sisi tupate chanjo version bora kabisa, nyie kajazeni consent form ili clinical trial ifanyike vizuri, mkiwa wengi wengi ndio vizuri maana tunapata sample size nzuri ..ila mchomwe kimya kimya acheni kupotosha watu.
 
Nishakukubalia hizo data na analysis uchwara.

Nimeshakukubalia usichanje kwa kuangalia pande nne tofauti kama mvumbuzi Magellan anataka kuvuka bahari.

Unazidi ku debate nini zaidi na mimi?

Au una asili ya kubishana tu hata pale unapokubaliwa kila kitu?
 
We ulifunga mjadala kwenye post yako hapo mwisho, na mimi si nimefunga kama we ulivyofunga, is there any problem bro?

We umefunga kwa kuonyesha msimamo wako na kuniuliza kama kuna shida, na mimi hivyo hivyo na nikakujibu hakuna shida so long as umeamua kuwa panya wa majaribio.

Sasa mbona unaenda mbele kwa ku-extend mjadala, mi na wewe na wewe nani atakua na asili ya ubishi au nani anataka ubishi na mwenzie?
 
Jaribu kutumia akili kidogo!hiyo malaria wazungu wanaijua?kama inakusumbua wewe miaka na miaka , watalaam wako wa kiafrika wamechukua jitihada gani kuitokomeza?!!yaani kila kitu lazima awe mzungu?!!unafikiria hii covid ingekuwa ni Afrika tu, leo hii hiyo chanjo ingekuwa imepatikana?!unajua serikali za USA, na ULAYA, zimetumia mabilioni mangapi kwenye utafiti hadi ugunduzi wa hizo chanjo?!
 

Kumbe lengo lako ni kubishana tu? Basic data analysis ndio nini maana umeng'ang'ania sana hilo neno ,inaonyesha ni mtu wa kukariri....Yaani wewe mpenga makamasi unifundishe mimi jinsi ya kutoa hoja? Unashindwa hata kuelewa nini kinazungumziwa hapa!
 
Kumbe lengo lako ni kubishana tu? Basic data analysis ndio nini maana umeng'ang'ania sana hilo neno ,inaonyesha ni mtu wa kukariri....Yaani wewe mpenga makamasi unifundishe mimi jinsi ya kutoa hoja? Unashindwa hata kuelewa nini kinazungumziwa hapa!
Babu nshakutaa mbona unaleta shobo, hebu temana na mimi basi I don't deal with knucklehead like you, get off me...!
 
Babu nshakutaa mbona unaleta shobo, hebu temana na mimi basi I don't deal with knucklehead like you, get off me...!

Next time jifunze kubalance shobo ,sio kila member unataka kum_qoute na kumletea maujinga yenu mliodanganywa na mwendazake.
 
Ulieandika uzi huu MUNGU akubariki wewe na uzao wako wote.
 
Next time jifunze kubalance shobo ,sio kila member unataka kum_qoute na kumletea maujinga yenu mliodanganywa na mwendazake.
We panya wa majaribio hebu kaa kwa kutulia, au ndio madhara ya chanjo yashaanza kujionyesha mapema.
 
We panya wa majaribio hebu kaa kwa kutulia, au ndio madhara ya chanjo yashaanza kujionyesha mapema.

Empty Set aka Zero Brain........Msiwapeleke pia watoto kwenye chanjo nyingine.

Wazungu wanataka kukuua wakati unashindia uji wenye chumvi ,mchana mihogo vipande viwili na usiku ndizi boko boko za kuchemsha na maji ya kwenye lambo mnashare na mifugo.
 
Hii ni aina nyingine ya Ramli.
Ova
 
Empty Set aka Zero Brain........Msiwapeleke pia watoto kwenye chanjo nyingine.

Wazungu wanataka kukuua wakati unashindia uji wenye chumvi ,mchana mihogo vipande viwili na usiku ndizi boko boko za kuchemsha na maji ya kwenye lambo mnashare na mifugo.

Limjaalo mtu ndio limtokalo, naona unazidi kujichoresha the real you..

Ili baada ya hiyo chanjo ya kwanza mabeberu waone wanaweza kuwahonga nini wakitaka tena panya wa majaribio, haya tofauti na matatizo ya kisaikolojia na ku share na mifugo maji nini kingine unachokiishi wewe na wenzako kwenye jamii yako, endelea endelea haraka watu wanataka ku-compile report chaap.
 
Gharama za viturushi,
Tozo za miamala,
Upandaji wa bei ya mafuta,
Sekeseke la wapinzani na ugaidi,
Mazingaombwe ya corona.

Hakika bomu analopika huyu mama sijui ataliteguaje.
 
Hii ni aina nyingine ya Ramli.
Ova
Hujaeleza kwa nini ni aina nyingine ya ramli, hivyo hata kukubishia ni vigumu.

Unaweza kuikataa ramli hii, si lazima.

Kwani kuna mtu kakulazimisha kuchanja?

Msikilize Simbachamwene.

 

Wewe jiendekeze kwa upoyoyo ,mwendazake alileta ubishi uviko ikamfyeka ,ushauri wangu kwako wewe ndezi ,nenda kapime blood group lako kama hauna elfu 2 ya kupimia sema nikutumie ,ukishajua blood group yako ,kama ni O basi endelea na msimamo wako ila kama ni tofauti nenda kapige chanjo ,Only The Strong will survive.

Wazungu wanataka kukuua wakati life style lako ni full kujiua.
 
Mimi libertarian. Mtu akitaka kucheza Russian roulette na maisha yake, ni haki yake.

Unapozidi kulazimisha na kutetea chanjo unaongeza maswali mengi kuhusu chanjo pia.

Kwa hivyo, anayetaka kuchanja achanje, asiyetqka juchanja asichanje.
 
Safii sana, tatizo la tatu tumelijua, yaan una/ mna elimu duni kiwango cha kusikitisha, next time watapata panya wengi zaidi wa majaribio kwa propaganda ya blood group , endelea endelea kufunguka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…