#COVID19 Malaria ndio inaua zaidi kuliko COVID19, mbona nguvu nyingi ziko kwenye COVID19

Inashangaza sana mkuu,

Baada ya mabeberu kutumia DDT kumaliza mbu huko kwao;

Wakaamua watudanganye kuwa ni sumu.

Wao kwao mbu hakuna.
wewe nae utakufa Kwa stroke bure kamanda
Sasa ulitaka dawa nazotengenezaga nimuuzie nani
Halafu zile NGO's
za kudhibiti Maralia huku Afrika zife tusipige pesaaaaaaaaaa
Alaaaa unatuharibia ulaji wewe!

(In beberu voices)

Halafu mwanangu Hawa wahuni hiyo dawa wakaipiga zenj Ili wakija kutalii wasiumwe na umbu halafu sisi huku et ni sumu dadeq zao!
 
Malaria imetengeneza variants ngqpi katika miaka miwili iliyopita?
Kuwa na variants mpya kila mara ndio kuwa na high mortality and vice versa?!!!!!!!!!!!!!

This is too low for you bro, come on ..una IQ kubwa sana kuliko ulichokiandika, hebu futa chap kabla wakuda hawajaona.
 
IQ ndiyo nini?

Nakwambia hivi, una hiki kitu Covid-19 kinabadilika badilika kila miezi michache, hatujui kitaendaje. Kinaweza kubadilika kikawa hakisikii dawa wala chanjo kikaua dunia nzima. I am talking "Extinction Level Event". Do you even know what that is?

Hiyo Malaria tushaijua haina kutojulikana inavyobadilika kihivyo, kuna dawa nyingi tu zishatengenezwa.

Ushawahi kuona dawa ya Covid-19?

Unajua tofauti ya ugonjwa wa virus kama Covid na ugonjwa wa Plasmodium parasite?
 
Tukiachana na mizaha ya kisiasa,natamani uje pahala nilipo sasa uone jinsi wapendwa wetu wanavyoteseka na hii hali ta upumuaji
 
C'mon big bro,

I know your deep reasoning capacity, sina shaka kuhusu hilo, but this is too low for you!!

Sasa kama kina mutate every now and then chanjo ya nini kwenye hili na sio malaria ambayo haibadiliki na still inaua kuliko uviko?

Hatuongelei kuhusu dawa ya malaria tunaongelea kuhusu chanjo, kuna chanjo yoyote ya malaria iliyoko sokoni?

Unauliza tofauti ya ugonjwa wa virus kama covid 19 against ugonjwa wa plasmodium, seriously kiranga huyu huyu?!!!

Kama kuna ugonjwa wa virus unaofanana na covid 19 ni upi ukilinganisha na yenyewe na unafananisha kivipi I mean kwa pathophysiology&clinical features zipi?

Hivi siku hizi kuna ugonjwa wa plasmodium?!!! Nnavyojua kuna ugonjwa wa malaria unaosababishwa na plasmodium falciparum, malariae, ovale na vivax

Narudia tena, this is too low for kiranga I know!
 
Kwanza kabisa nishushe tuwe sawa usinipaishe juu sana nishindwe kuwa hata huru kutoa maoni yangu kwa sababu umenipandisha juu sana.

Umeuliza swali zuri.

Kama kina mutate sana (kirusi cha Covid-19), chanjo ya nini?

Chanjo ni kati ya silaha za kutusaidia kuzuia mutation.Mutation inatokea sana katika watu ambao hawana chanjo na wanaumwa sana na kulazwa. Watu wakichanjwa mutation inakuwa contained, virusi vinadhibitiwa visi mutate sana.

Umeshaelewa hiyo point kwanza?

Nimekuuliza tofauti ya ugonjwa wa virus na wa plasmodium ili kujua kama unaelewa tofauti kubwa ya nature ya virus na plasmodium, unaonekana huelewi.

Unapouliza "hivi siku hizi kuna ugonjwa wa plasmodium" ni sawa na kuuliza "hivi siku hizi kuna ugonjwa wa virus?". Kama kuna ugonjwa unaosababishwa na plasmodium, kuna ugonjwa wa plasmodium, kama kuna ugonjwa unaosababishwa na virus, kuna ugonjwa wa virus.

What are you even asking?
 
Kama chanjo inazuia mutation, why kuna variants mpya kila siku kutoka hizo nchi zilizochanja sana, achilia mbali morbidity &mortality rate?

Nafahamu kiasi kuhusu tofauti kati ya protozoa(plasmodium) na virus (like covid etc) so mimi sio naive kivile so epuka kuwa judgemental.

Kuhusu kuuliza ugonjwa wa plasmodium, elewa context kwanza...nazungumzia ugonjwa sio causative agent ya ugonjwa, elewa tofauti, so hakuna ugonjwa wa plasmodium duniani kote ila kuna ugonjwa unaosababishwa na plasmodium ambao ni malaria, sio mara zote A=B=C(and vice versa) usichanganye mambo!
 
Kama chanjo inazuia mutation, why kuna variants mpya kila siku tena kutoka hizo nchi zilizochanja sana?

Nafahamu kiasi kuhusu tofauti kati ya protozoa(plasmodium) na virus (like covid etc) so sio naive kivile so epuka kuwa judgemental.

Kuhusu kuuliza ugonjwa wa plasmodium, elewa context kwanza...nazungumzia ugonjwa sio causative agent ya ugonjwa, elewa tofauti, so hakuna ugonjwa wa plasmodium duniani kote ila kuna ugonjwa unaosababishwa na plasmodium ambao ni malaria, sio mara zote A=B=C usichanganye mambo!
Variants mpya zinachochewa sana na watu wasiochanjwa.Hata huku, US kwa mfano, kuna watu wengi wanakataa chanjo kwa sababu ya kujazana ujinga.

Hao ndio wanaoumwa sana na kulazwa. Sasa hivi Marekani zaidi ya 97% ya wanaolazwa hospitalini kwa Covid ni wasiochanjwa.Hawa ndio wanaotengeneza new variants. Kati ya wanaokufa kwa Covid US zaidi ya 99% ni waliokataa chanjo.

Wengi wanaomba kuchanjwa baada ya kuumwa, wanaambiwa chanjo haifanyi kazi hivyo, unatakiwa uchanjwe kabla ya kuumwa.

Waliochanjwa hawatengenezi variants mpya, hata wakiambukizwa miili yao inaweza kufight viruses na kushinda mapema hata hawajui wamepata infection, hivyo hawatengenezi variants mpya.

"I think this is another foul-up on the part of the baby boomers. I am a real baby boomer — I was born in 1947, I am almost 73 years old — but I think we’ve really screwed up. We’ve caused pollution, we’ve allowed the world’s population to increase threefold in my lifetime, we’ve caused the problems of global warming and now we’ve left your generation with a real mess in order to save a relatively small number of very old people."
- PROFESSOR MICHAEL LEVITT
 
Una linganisha viral disease na parasite? Tena corona ni pandemic. Malaria una imaliza kwa neti na fumigation
 
Tukiachana na mizaha ya kisiasa,natamani uje pahala nilipo sasa uone jinsi wapendwa wetu wanavyoteseka na hii hali ta upumuaji
Hali ya upumuaji kwa magonjwa gani mkuu maana nasikia kuna magonjwa kadhaa yenye kusababisha hilo tatizo la upumuaji?
 
Ushamba tu ndo unatucost. Ni nani umemsikia anapinga hatua za kujikinga na malaria?
Halafu uwage na akili. Covid imestrike zaidi Ulaya,,lakini malaria ulaya ni kama hakuna. Wewe unategemea mzungu akutangulize wewe na malaria yako aache ugonjwa unaomsumbua yeye?

Wewe umesaidiwa kutafuta chanjo,, nenda kachome kama ulivyochoma surua na pepopunda, zote hizi zimetoka ulaya.
Shughulisha mbongo yako.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Una linganisha viral disease na parasite? Tena corona ni pandemic. Malaria una imaliza kwa neti na fumigation
Hapa ni sehemu ya kuvumiliana na kuelimishana tu.

Ndiyo maana nimejizuia kusema mengi.

Ila na mimi nilijiuliza sana maswali hayo, nikashangaa mtu anayelinganisha viwili hivi.

Watu tuna uelewa tofauti sana.
 
JPM angekuwepo tusingekuwa na habari za Corona maana huku tulishatoka
Tunarudishana nyuma tu
Ona sasa asilimia kubwa hakuna mtu anayefata agizo la kuvaa baracoa, kunawa mikono, level seat
Yote kwa yote amua unachotaka wewe binafsi kuhusu Corona kwa vile ni Hiyari hususan chanjo
 
Ushamba tu ndo unatucost. Ni nani umemsikia anapinga hatua za kujikinga na malaria?
Halafu uwage na akili. Covid imestrike zaidi Ulaya,,lakini malaria ulaya ni kama hakuna. Wewe unategemea mzungu akutangulize wewe na malaria yako aache ugonjwa unaomsumbua yeye?

Wewe umesaidiwa kutafuta chanjo,, nenda kachome kama ulivyochoma surua na pepopunda, zote hizi zimetoka ulaya.
Shughulisha mbongo yako.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hakuna ulichoelewa hapa. Empty set
 
Una linganisha viral disease na parasite? Tena corona ni pandemic. Malaria una imaliza kwa neti na fumigation
Unaimaliza wapi mkuu.

Malaria imewahi kuisha hii nchi ?

Mafua ya kawaida sio viral disease?

Mortality rate ya Malaria unailinganisha na ya COVID-19 ?

Kama Mortality rate ya Malaria ni kubwa zaidi mbona kwenye malaria tumetulia na wala hakujawahi kuwa zoezi la nchi lenye ulazima wa maeneo yote hatarishi kupigwa dawa na kuua mbu.
 
Marekani wali declare malaria free 1960, ni uzembe wetu
 
Back
Top Bottom