Malasusa awa askofu mkuu KKKT, lakini walutheri wengi hawana furaha na amani, nini shida?

Mkuu, wameshafanya mabadiliko. Dayosisi zote zitatumia Katiba moja. Na kuanzia sasa, hiyo nafasi aliyopata Malasusa, ina nguvu Tanzania nzima. Yaani, anakuwa ana nguvu kuwazidi Maaskofu wote! Ana uwezo hata wa kumuwajibisha Askofu wa jimbo lolote!
Bagonza AJIANDAE!
Tuwekee hio katiba mpya.
 
Dah viongozi wangu wa kiimani sijui wamekuja kuaje ila malasusa hamna mtu pale anyway pongezi ziende kwa watu wa system wamefanikiwa kuinstall pandikizi lao
Watanzania tuna shida kubwa. Tena kubwa kweli kweli. Hivi walutheri (ambao ni zao la watanzania) wakiamua hata kesho atoke kwenye hiyo nafasi watashindwa? Hawawezi kushindwa hata kidogo. Wanatakiwa wafanye kitu kidogo sana. Ni kuweka msimamo kuwa wasihudhurie ibada au kujishughulisha na shughuli zozote za kidini mpaka ajiondoe kwenye hiyo nafasi. Hili suala wala halihitaji maandamano ambayo wabongo huwa ni wagumu sana kufanya. As simple as that. Wasali wakiwa nyumbani mpaka hapo atakapojiuzu.
 
Nilipenda KKKT mimi ila malasusa alichomfanyia Mwaikali na kumtukana prof Mwakihaba mruteli mnyoofu yule nikahamia rasmi kanisa la kirutheli Africa mashariki. Bagonza anasubiri nini ?
Mwaikali hana adabu. Ni mhuni
 
👉👉👉👉👉👉 KKAM (KANISA LA KILUTHERI LA AFRICA MASHARIKI) 😛😛😛😛😛
 
Waluteri Wana furaha

Kwahiyo askofu Dr Alex Malasusa PhD hapo DMP amechaguliwa Wakati na Freeman Mbowe anachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema

KKKT mmetisha sana[emoji3][emoji3][emoji3]

Mkitoa Rais wa JMT Sijui atakaa Muda gani kama siyo Sawa na Dipi weldi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii "sarcasm" yako itawaingiza watu mkenge wale wa kichwakichwa.
 
Ila KKKT wamechanganyikiea Yani wameona malasusa ndio arudi kuwaingoza?
 
Watanzania tuna shida kubwa. Tena kubwa kweli kweli. Hivi walutheri (ambao ni zao la watanzania) wakiamua hata kesho atoke kwenye hiyo nafasi watashindwa? Hawawezi kushindwa hata kidogo. Wanatakiwa wafanye kitu kidogo sana. Ni kuweka msimamo kuwa wasihudhurie ibada au kujishughulisha na shughuli zozote za kidini mpaka ajiondoe kwenye hiyo nafasi. Hili suala wala halihitaji maandamano ambayo wabongo huwa ni wagumu sana kufanya. As simple as that. Wasali wakiwa nyumbani mpaka hapo atakapojiuzu.
🙉😆🤣👻
 
Hivi kanisani unamfuata nani...Malasusa??

Unakwenda kumwabudu Nani...Malasusa?

Siwezi kuacha kwenda kanisani kwa sababu ya Askofu...

Namfuata Kristo na siyo m
Malasusa
 
Dah viongozi wangu wa kiimani sijui wamekuja kuaje ila malasusa hamna mtu pale anyway pongezi ziende kwa watu wa system wamefanikiwa kuinstall pandikizi lao
kama ni pandikizi la system ni wajinga tu ndio wataamini mafundisho yake anapohubiri, wengine tutaona anahubiri abrakadabra za kisiasa tu, hatutaamini hayo
 
Nilipenda KKKT mimi ila malasusa alichomfanyia Mwaikali na kumtukana prof Mwakihaba mruteli mnyoofu yule nikahamia rasmi kanisa la kirutheli Africa mashariki. Bagonza anasubiri nini ?

Kwani nchi nzima yenye dayosisi nyingi anayeonekana wa maana ni Bagonza tu? Au kwa vile Bagonza ana UCHADEMA ndiyo maana anapendwa pendwa? Si tumesema siasa isichanganywe na dini? Bagonza ni CHADEMA kama Malasusa alivyo CCM, kila mmoja na kipenda roho chake!
 
Mimi sikujua kama Bagonza anakadi ya CHADEMA hali kadhalika sikujua kama Malasusa anakadi kama yangu ya Tawala. Hongereni wa michongo kumbe CCM imeibuka kidedea madhabahuni penu!
 
Mbona wanataka kurudi kule kule kwenye Mfumo wa kipapa?

Sasa ilikuwaje kanisa ni moja lakini katiba ziwe tofauti? Ndiyo maana hilo kanisa linafumka migogoro mara kwa mara! Namkumbuka Mungwamba aliyewahi kuwa askofu wa hiyo dayosisi ya Pwani na Mashariki, ambaye sasa hivi tuliambiwa ni taxi driver huko Marekani! Alitetemesha sana Lutheran hadi alipong’olewa kwa nguvu! Mwaikali naye hivyo hivyo huko Rungwe, na kule Same/Mwanga kuliwahi kuwaka moto! Mara Malasusa wakati wa Magufuli kutousoma kanisani waraka ulioandikwa na maaskofu wote, n.k. Yote haya ni matokeo ya kila dayosisi kuwa na katiba yake ambapo kila askofu anakuwa na sharubu kama kambare! Adabu kwa Askofu Mkuu inakuwa ndogo. Huwezi kuyaona mambo kama haya kwa Kanisa Katoliki hata mara moja!
 
Back
Top Bottom