Tuwekee hio katiba mpya.Mkuu, wameshafanya mabadiliko. Dayosisi zote zitatumia Katiba moja. Na kuanzia sasa, hiyo nafasi aliyopata Malasusa, ina nguvu Tanzania nzima. Yaani, anakuwa ana nguvu kuwazidi Maaskofu wote! Ana uwezo hata wa kumuwajibisha Askofu wa jimbo lolote!
Bagonza AJIANDAE!
Watanzania tuna shida kubwa. Tena kubwa kweli kweli. Hivi walutheri (ambao ni zao la watanzania) wakiamua hata kesho atoke kwenye hiyo nafasi watashindwa? Hawawezi kushindwa hata kidogo. Wanatakiwa wafanye kitu kidogo sana. Ni kuweka msimamo kuwa wasihudhurie ibada au kujishughulisha na shughuli zozote za kidini mpaka ajiondoe kwenye hiyo nafasi. Hili suala wala halihitaji maandamano ambayo wabongo huwa ni wagumu sana kufanya. As simple as that. Wasali wakiwa nyumbani mpaka hapo atakapojiuzu.Dah viongozi wangu wa kiimani sijui wamekuja kuaje ila malasusa hamna mtu pale anyway pongezi ziende kwa watu wa system wamefanikiwa kuinstall pandikizi lao
Mwaikali alikuwa hana sifa ya uaskofu.Alimtawala dr shoo... yeye ndiye aliyempindua Askofu mwaikali kinguvu Mbeya na kumsimika Mwakihaba.. hilo kanisa limekuwa kama Club tuu
Mwaikali hana adabu. Ni mhuniNilipenda KKKT mimi ila malasusa alichomfanyia Mwaikali na kumtukana prof Mwakihaba mruteli mnyoofu yule nikahamia rasmi kanisa la kirutheli Africa mashariki. Bagonza anasubiri nini ?
Hana power ya kufanya hivyo yeye kama yeye. Lazima ahusishe wenzie. Kwa maana hiyo angekwamaAngefanya reforms nyingi ya mifumo ya uendeshaji
Hii "sarcasm" yako itawaingiza watu mkenge wale wa kichwakichwa.Waluteri Wana furaha
Kwahiyo askofu Dr Alex Malasusa PhD hapo DMP amechaguliwa Wakati na Freeman Mbowe anachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema
KKKT mmetisha sana[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkitoa Rais wa JMT Sijui atakaa Muda gani kama siyo Sawa na Dipi weldi [emoji23][emoji23][emoji23]
Huo hauwezi kuwa uzuri; ndio chanzo cha matatizo.Yes huyu amewekwa na mipuuzi ya CCM! Anyway uzuri Lutheran Kila Dayosisi Ina Katiba yake!
🙉😆🤣👻Watanzania tuna shida kubwa. Tena kubwa kweli kweli. Hivi walutheri (ambao ni zao la watanzania) wakiamua hata kesho atoke kwenye hiyo nafasi watashindwa? Hawawezi kushindwa hata kidogo. Wanatakiwa wafanye kitu kidogo sana. Ni kuweka msimamo kuwa wasihudhurie ibada au kujishughulisha na shughuli zozote za kidini mpaka ajiondoe kwenye hiyo nafasi. Hili suala wala halihitaji maandamano ambayo wabongo huwa ni wagumu sana kufanya. As simple as that. Wasali wakiwa nyumbani mpaka hapo atakapojiuzu.
Je hance mwakabana nae ni muhuni?Mwaikali hana adabu. Ni mhuni
Wewe ni malasusa mzinzi yule?Hana power ya kufanya hivyo yeye kama yeye. Lazima ahusishe wenzie. Kwa maana hiyo angekwama
Hivi kanisani unamfuata nani...Malasusa??Watanzania tuna shida kubwa. Tena kubwa kweli kweli. Hivi walutheri (ambao ni zao la watanzania) wakiamua hata kesho atoke kwenye hiyo nafasi watashindwa? Hawawezi kushindwa hata kidogo. Wanatakiwa wafanye kitu kidogo sana. Ni kuweka msimamo kuwa wasihudhurie ibada au kujishughulisha na shughuli zozote za kidini mpaka ajiondoe kwenye hiyo nafasi. Hili suala wala halihitaji maandamano ambayo wabongo huwa ni wagumu sana kufanya. As simple as that. Wasali wakiwa nyumbani mpaka hapo atakapojiuzu.
Hakuna utakachofanya mwenyewe lkn kama kiongozi una influence kubwa ya kufanikishaHana power ya kufanya hivyo yeye kama yeye. Lazima ahusishe wenzie. Kwa maana hiyo angekwama
kama ni pandikizi la system ni wajinga tu ndio wataamini mafundisho yake anapohubiri, wengine tutaona anahubiri abrakadabra za kisiasa tu, hatutaamini hayoDah viongozi wangu wa kiimani sijui wamekuja kuaje ila malasusa hamna mtu pale anyway pongezi ziende kwa watu wa system wamefanikiwa kuinstall pandikizi lao
Nilipenda KKKT mimi ila malasusa alichomfanyia Mwaikali na kumtukana prof Mwakihaba mruteli mnyoofu yule nikahamia rasmi kanisa la kirutheli Africa mashariki. Bagonza anasubiri nini ?
Mimi sikujua kama Bagonza anakadi ya CHADEMA hali kadhalika sikujua kama Malasusa anakadi kama yangu ya Tawala. Hongereni wa michongo kumbe CCM imeibuka kidedea madhabahuni penu!Kwani nchi nzima yenye dayosisi nyingi anayeonekana wa maana ni Bagonza tu? Au kwa vile Bagonza ana UCHADEMA ndiyo maana anapendwa pendwa? Si tumesema siasa isichanganywe na dini? Bagonza ni CHADEMA kama Malasusa alivyo CCM, kila mmoja na kipenda roho chake!
Mbona wanataka kurudi kule kule kwenye Mfumo wa kipapa?
Tuwekee hio katiba mpya.