Malasusa unachoifanyia Dayosisi yako Mungu atakulipa

Wewe hapo ndugu yako akifa unawanyenyekea madheikh na makasisi kama vile ndio wenye funguo za kuzimu.
Mpaka sasa sijawahi kuona mtanzania anayezikwa Kama mbwa, yaani bila ibada.
Labda wewe utakua wa kwanza.
point yako ni nini?. nikifa nitakosa sheikh wa kuja kuniswalia?, nitakosa kasisi, mchungaji au padre wa kuja kuombea maiti yangu?.

kwa taarifa yako nikifa maiti yangu itagombaniwa na viongozi wa kiroho wa dini zote kubwa hapa nchini.

kila mmoja atadai mimi nilikuwa muumini wao.
 
Pa
ni nani alikwambia Mungu anapatikana kanisani tu..
Palipokusanyika watu wawili kwa ajili yangu nami nipo kati yao .

Yesu Kristu pia aliiacha kanisa chini ya Mtume petro ,Wewe ndiye petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu wala milango ya kuzimu haitalishinda,

Yesu Kristu anasema Wewe nendeni ulimwenguni kote, Mkawabatize kwa jina la baba na la mwana na la Roho mtakatifu,Wowote mtakaowafungia duniani watakuwa wamefungiwa mbinguni na wowote mtakaowafungilia duniani na mbinguni watakuwa wamefunguliwa"

Hao wanaagizw ni akina nani? Ndo hao viongozi wako wa kanisa.
 
Siku hiyo ifike haraka
 
Huyo jamaa ni kumwambia Muumba amchukue akajibu mashtaka! Mara mke wa muumini mara sasa fedha! Aisee watu shetani kawapofusha! Kwa nini asifanyie uraiani anaenda kumbipu Muumba ambae kashikilia pumzi yake? Kama kweli Muumba yupo basi huyo ndugu mamuhurumia!
 
Wewe hapo ndugu yako akifa unawanyenyekea madheikh na makasisi kama vile ndio wenye funguo za kuzimu.
Mpaka sasa sijawahi kuona mtanzania anayezikwa Kama mbwa, yaani bila ibada.
Labda wewe utakua wa kwanza.
Uoga na ujinga tu ndio unawafanya ndugu wengi wa marehemu waamini ndugu yao akizikwa na Kasisi au Sheikh anakuwa amefika mbinguni. Wahindu wao wanachoma moto.
 
tukiwaambia madhara ya kujiunga na vikundi vya unyang'anyi vinavyotumia majina mazuri(kanisa) kuficha uhuni wao, mnatuona wajinga..

kanisa ni wew mtu, si jengo hakuna ktk bibkia walposema uende mjengon(mnakoita makanisan) sasa uko kutapeliwa mnakutaka wenyew kwa kupingana na mandiko, sadaka ya kwel nyakat hzi ni kwa masikini, wajane, mayatima, wagonjwa, na wenye shida na sio huko magengeni ambako Mungu hakutambui,,mtaendelea kulipishwa michango mpka mpauke, na baraka hamtozipata ng'ooooooooooo.....NINGEKUWA RAIS, NINGEAMULU IZI DINI ZOTE ZIFUKUZIWE MBALI
 
hahahaaahaa wasipokuelewa hawa Wayahudi weusi basi inabidi wazimuliwe mabanzi ya vichwa ili akili iwakae sawa
Dini ni utapeli wa kizamani sana ila still kuna watu bado wanatapeliwa kipumbavu
Yaani hivi vukundi vinavyoitwa makanisa ni vya utapeli mkubwa !
 
Uoga na ujinga tu ndio unawafanya ndugu wengi wa marehemu waamini ndugu yao akizikwa na Kasisi au Sheikh anakuwa amefika mbinguni. Wahindu wao wanachoma moto.
Wahindu wanachoma baada ya ibada hekaluni.
 
Bahati nzuri/mbaya ukimkubali mtu kuwa ndio kiongozi wako wa kiroho, huna ujanja. Akitumia fursa hiyo kukuzidi akili usilalamike.

Kinachokuponza ni ule usanii wa kuvaa kanzu na misalaba kifuani na kurusha maji na udongo kwa mapozi wakati wa mazishi kwamba wewe au mpendwa wako mtakubalika mbinguni.

Yesu (mmoja) aliwalisha watu 5k wakashiba na kusaza. Siku hizi watu 5k wanamlisha mtu (mmoja) na hashibi. Logic & Reasoning ndio vitakuweka salama. Na sio kutoa mapesa kumlisha mtu
 
Hako kamalasusa ni kakada kindakindaki kaCCM, sijui kanakwama wapi?

Huu ujinga wa kukimbilia kwenye mitandao hutafanikiwa unamwalika hata mtu asiyehusika badala ya kulaumu ofisi ya mtunza hazina unamlaumu Askofu wakati fulani ficheni uijinga wenu
 
Kiongozi kwani kila kitu ni cha kupeleka mitandaoni? Mengine si maliza katika ngazi zenu? Kuyaleta hapa unaongeza faida kwa kanisa lako? Huo mchango mmelazimishwa?
Kwan kuna ubaya gani akilileta huku kwan wanaochangia hapa sio waumini au raia wanaohusika na hili swala?!

Msiwe mnapenda vificho kwenye mambo ya kijamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Kanisa halina Wakaguzi wa Mahesabu?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…