Malasusa unachoifanyia Dayosisi yako Mungu atakulipa

Malasusa unachoifanyia Dayosisi yako Mungu atakulipa

Wewe kama ni kiongozi pale Dayosisi jua mnatuumiza sana waumini wenu.

Yani mtu unakuja kabisa tunadaiwa bilion 1.6 na husemi linatokana na nini alafu unatupiga pin tusihoji unataka tukaongelee wapi?
Lile deni corridor spring waumini walilipa tena huruhusiwi kuhoji.
Walinipangia kulipa laki 3 sijui walitumia kigezo kipi.
Niliapa kutolipa, sijui michango inaendaje maana niliacha kwenda Church
 
Shoo kada wa chadema aliwachangisha wana dayosisi ya kaskazini zaidi ya bilion 2 mpaka wakaota vipara. Vipi yeye alimkabidhi Mbowe?
Dada kama hujui uliza,aliechangisha changisha alikua marehemu askofu laizer,punguza kipururu dada
 
Crimea
Iyo nafasi ya katibu mkuu si imeshajazwa na kiongozi wa dini flani hivi jina kapuni
 
Ndiyo maana waumini wengi wanakimbilia kwenye makanisa ya watu binafsi kama kwa akina mzee wa upako , Gwaji boy na Mwamposa ...[emoji117]kisa na mkasa ni tozo makanisani .


[emoji117][emoji123] Hakuna pa kukimbilia, Huku kwa Rais Samia ni tozo bab kubwa na huko makanisani ni michango kwa kwenda mbele.


lkn vipi kwa Burundi , !! nako michango na tozo ipo?????
 
Kiongozi kwani kila kitu ni cha kupeleka mitandaoni? Mengine si maliza katika ngazi zenu? Kuyaleta hapa unaongeza faida kwa kanisa lako? Huo mchango mmelazimishwa?
Hii ni sehemu sahihi yakupashana habari mkuu! Kile ambacho wewe unajua au hujui kinakuja hapa na unakuwa umepata taarifa kirahisi.... Sisi ni waumini binafsi hili nilikuwa silifahamu lakini huu nao ni uhuni kama uhuni mwengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dini n biashara nzuri. Unyenyekevu uzaa uoga, uoga uzaa unafiki. Hao wachungaj walishindwa nn kumgomea?!!! Sio dhambi kumkatalia Askofu asiye msafi
 
Kiongozi kwani kila kitu ni cha kupeleka mitandaoni? Mengine si maliza katika ngazi zenu? Kuyaleta hapa unaongeza faida kwa kanisa lako? Huo mchango mmelazimishwa?
Nawewe unashirikiana na malasusa? Mbona watu mnapenda kuficha maovu hivyo?
 
Dada kama hujui uliza,aliechangisha changisha alikua marehemu askofu laizer,punguza kipururu dada

Dah alikuaga mshikami wangu sana Askofu llaizer alinifungisha mpaka ndoa pale usharika wa kati......
 
We dada kumbe una nongwa hadi ,akanisani? Sh ngapi umeamriwa ulipe nikutumie euros kadhaa?
Bado tu tabia yako ya kutafuta wanaume indirect hujaacha?

Si nilishakwambia mimi nmeoa na sitaki mke wa pili?
 
Dah alikuaga mshikami wangu sana Askofu llaizer alinifungisha mpaka ndoa pale usharika wa kati......
Hipati bwana hapa!

Hata ujipitishe vipi hupati bwana.
 
Dada kama hujui uliza,aliechangisha changisha alikua marehemu askofu laizer,punguza kipururu dada
Ulivyo wewe dada unafikrii kila mtu humu ni dada?

Wakati Laizer anachangisha hayo mabilioni askofu Shoo shabiki wa chadema alikuwa wapi?

Magufuli alikuchapa akiwa hai na bado anakuchapa akiwa mfu.

Na bado
 
Chuo chao hapo mwenge ,ada yao ilikua kubwa sana ,na huku wanawachangisha waumini kila jumapili.
 
Lile deni corridor spring waumini walilipa tena huruhusiwi kuhoji.
Walinipangia kulipa laki 3 sijui walitumia kigezo kipi.
Niliapa kutolipa, sijui michango inaendaje maana niliacha kwenda Church
Hawa jamaa hovyo kabisa utafikiri hawana wataalamu wa uchumi.

Wachaga ni watu wabaya sana, walichoifanyia dayosisi ya kaskazini kwenye hilo deni
 
Leo tuliitwa sehemu tukaambiwa Dayosisi ya mashariki na pwani ina deni la bilion 1.6
Haijulikani ni deni limetokana na nini. Hatukupewa kabisa nafasi ya kuhoji,. Yani imepigwa blaa blaa tu na kuambiwa tuchangie kulipa hilo deni.
Deni limegawanywa kila kituo yani sharika na mitaa, na inatakiwa liwe limelipwa ndani ya miezi 2.
Nmeumia sana kwasababu ni hela nyingi sana na ni mzigo kwa washarika ambao wanajithidi kuinua sehemu zao za kuabudia lakini wanabebeshwa zigo lingine ambalo halijulikani linatokana na nini,
Malasusa mimi nlikuwa nakuunga mkono sana ila kwa hili umenikwaza sana. Unawapa wakati mgumu sana Wainjilisti na wachungaji wako. Hebu fikiria Mwinjilisti au mchungaji anaenda kuwambia washarika tunatakiwa kulipa milioni 10 bila kuambiwa inatokana na nini?
Hapo makao makuu ya Dayosisi napo sijui pana shida gani maana katibu mkuu hajahudumu hata miaka 2 tayari tukasikia nafsi ya katibu mkuu iko wazi.
Mnatukosea sana! Hata kama mnapiga lakini hiyo ni too much.
 
Makanisa kama haya ukiuliza habari ya mapato na matumizi lazima uundiwe tume, kama siyo kutengwa utaishia kuambiwa unatumika na ibilisi
Dayosisi yetu baada ya kuona michango inazidi ikaanzishwa miradi ili kusiwe na utegemezi kwenye sadaka ikaanzishaa miradi ya
Ngombe wa maziwa
Miwanda cha kusindika maziwa
Shule ya chekechea na
Kiwanda cha fenicha

Cha ajabu miaka 7 sasa waumini wanachanhishwa michango kuendesha miradi hiyo.
 
Back
Top Bottom