Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ni kawaida kwa Dayosisi.Dah kama ni kweli hii ni kashfa
Kuna ile mizigo ya madeni kule Arusha usipime
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kawaida kwa Dayosisi.Dah kama ni kweli hii ni kashfa
Makanisa ya sikuhizi wao ni michango bila kujali Hali za waumini nakuwasaidia Matokeo watu wanasikia uvivu kwenda kanisani.Makanisa mengi yanahitaji referendum mpya ya kuliendesha unakuta mama hajiwezi akifika misa jumapili kila kiongozi anayesimama ni kusisitiza michango tu hapo hata uwepo wa kiibada unatweka
Hipati bwana hapa!
Hata ujipitishe vipi hupati bwana.
Hawa jamaa hovyo kabisa utafikiri hawana wataalamu wa uchumi.
Wachaga ni watu wabaya sana, walichoifanyia dayosisi ya kaskazini kwenye hilo deni
Wewe huna cheo chochote pale KKKT ni kidagaa tu so hujui loloteHalafu dayosisi aliyoongoza askofu Laizer haikuwa ya wachaga usikariri, unajua Kule kaskazini kuna dayosisi ngapi? Unajua kati ya hizo dayosisi maaskofu wachagga ni wangapi? Acha chuki za kipuuzi zidi ya wachagga ndugu.
Hivi kumbe nawe ni Mkristo? duuh kazi ipoWewe huna cheo chochote pale KKKT ni kidagaa tu so hujui lolote
Laizer aliacha migogoro ya ile hotel yenu ni shida tupuNi balaa tupu
Shida nini hata Tatizo la Malasusa ulihamishie kwa Kanisa?hivi kumbe kuna watu bado huwa mnaenda makanisani hadi leo?.
huko vyuoni mlikopata elimu ya juu, mlienda kusomea nini?, ujinga?.
Asiye na roho ya kutuMkristo anatakiwa aweje?
[emoji23][emoji23][emoji23]Makanisa kama haya ukiuliza habari ya mapato na matumizi lazima uundiwe tume, kama siyo kutengwa utaishia kuambiwa unatumika na ibilisi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]inamaana wachagga ni wezi?Kanisa limejaa wachagga, unategemea nini hapo?
Mimi siyo Mchagga, ila nafahamu siyo Wachagga wote wenye kutafuta fursa katika KKKT. Wachagga katika KKKT-DMP ndio wanaoongoza kuchangia shughuli za Maendeleo na ujenzi wa makanisa mapya, kuwasema vinginevyo kwa ujumla wao mtakuwa hamuwatendei haki kwani hata wao ni sehemu ya kulipa Hilo DENI.Kanisa limejaa wachagga, unategemea nini hapo?
Wewe huna cheo chochote pale KKKT ni kidagaa tu so hujui lolote
Huyo shetani wako wa chato alikuchapa akiwa hai na bado anakuchapa akiwa mfu ndio maana huuachi kumtaja.Yule shetani wa CHATO aliwaharibu sana hawara zake kiasi kwamba ili Mtu awe chochote mbele yenu ni lazima awe na cheo sivyo?
Kwa nafasi yangu kabla sijaondoka bongo nimekuwa mjumbe wa bodi mbalimbali ndani ya dayosisi kadhaa za KKKT hivyo ninalijua vizuri kanisa hilo.
Nimekuuliza kisomi umeruka ruka tu hapa je ni maaskofu wangapi wachagga huko kaskazini? Dayosisi ngapi za KKKT zinaendeshwa na wachagga? Ni wachagga wangapi wamekua wakuu wa KKKT ukimtoa Dr Shoo?
Chuki Zako dhidi ya wachagga hazitakusaidia we changudoa