Lile deni corridor spring waumini walilipa tena huruhusiwi kuhoji.Wewe kama ni kiongozi pale Dayosisi jua mnatuumiza sana waumini wenu.
Yani mtu unakuja kabisa tunadaiwa bilion 1.6 na husemi linatokana na nini alafu unatupiga pin tusihoji unataka tukaongelee wapi?
Dada kama hujui uliza,aliechangisha changisha alikua marehemu askofu laizer,punguza kipururu dadaShoo kada wa chadema aliwachangisha wana dayosisi ya kaskazini zaidi ya bilion 2 mpaka wakaota vipara. Vipi yeye alimkabidhi Mbowe?
Hii ni sehemu sahihi yakupashana habari mkuu! Kile ambacho wewe unajua au hujui kinakuja hapa na unakuwa umepata taarifa kirahisi.... Sisi ni waumini binafsi hili nilikuwa silifahamu lakini huu nao ni uhuni kama uhuni mwengineKiongozi kwani kila kitu ni cha kupeleka mitandaoni? Mengine si maliza katika ngazi zenu? Kuyaleta hapa unaongeza faida kwa kanisa lako? Huo mchango mmelazimishwa?
Nawewe unashirikiana na malasusa? Mbona watu mnapenda kuficha maovu hivyo?Kiongozi kwani kila kitu ni cha kupeleka mitandaoni? Mengine si maliza katika ngazi zenu? Kuyaleta hapa unaongeza faida kwa kanisa lako? Huo mchango mmelazimishwa?
Imejazwa na wa dini ya tofauti na mkristo?
Dada kama hujui uliza,aliechangisha changisha alikua marehemu askofu laizer,punguza kipururu dada
Hata RC ni upigaji tuuMakanisa kama haya ukiuliza habari ya mapato na matumizi lazima uundiwe tume, kama siyo kutengwa utaishia kuambiwa unatumika na ibilisi
Ulivyo wewe dada unafikrii kila mtu humu ni dada?Dada kama hujui uliza,aliechangisha changisha alikua marehemu askofu laizer,punguza kipururu dada
Hawa jamaa hovyo kabisa utafikiri hawana wataalamu wa uchumi.Lile deni corridor spring waumini walilipa tena huruhusiwi kuhoji.
Walinipangia kulipa laki 3 sijui walitumia kigezo kipi.
Niliapa kutolipa, sijui michango inaendaje maana niliacha kwenda Church
na wanamiliki vyuo cha tumaini university makumira kuna kile cha arusha na hiki cha tudarco mwenge wakachukue hela huko walipe deniWachukue mapato ya parking pale mjini wapunguze deni
Leo tuliitwa sehemu tukaambiwa Dayosisi ya mashariki na pwani ina deni la bilion 1.6
Haijulikani ni deni limetokana na nini. Hatukupewa kabisa nafasi ya kuhoji,. Yani imepigwa blaa blaa tu na kuambiwa tuchangie kulipa hilo deni.
Deni limegawanywa kila kituo yani sharika na mitaa, na inatakiwa liwe limelipwa ndani ya miezi 2.
Nmeumia sana kwasababu ni hela nyingi sana na ni mzigo kwa washarika ambao wanajithidi kuinua sehemu zao za kuabudia lakini wanabebeshwa zigo lingine ambalo halijulikani linatokana na nini,
Malasusa mimi nlikuwa nakuunga mkono sana ila kwa hili umenikwaza sana. Unawapa wakati mgumu sana Wainjilisti na wachungaji wako. Hebu fikiria Mwinjilisti au mchungaji anaenda kuwambia washarika tunatakiwa kulipa milioni 10 bila kuambiwa inatokana na nini?
Hapo makao makuu ya Dayosisi napo sijui pana shida gani maana katibu mkuu hajahudumu hata miaka 2 tayari tukasikia nafsi ya katibu mkuu iko wazi.
Mnatukosea sana! Hata kama mnapiga lakini hiyo ni too much.
Dayosisi yetu baada ya kuona michango inazidi ikaanzishwa miradi ili kusiwe na utegemezi kwenye sadaka ikaanzishaa miradi yaMakanisa kama haya ukiuliza habari ya mapato na matumizi lazima uundiwe tume, kama siyo kutengwa utaishia kuambiwa unatumika na ibilisi