SahauuPOST yangu ya asubuhi niliandika Tanzania hatufikii hata robo ya siasa za Malawi, mahakama leo imetengua ushindi wa Rais hivyo uchaguzi kufanyika ndani ya siku 150 toka leo.
Mahakama za Malawi siku zote haziegemei upande mmoja.Mahakama za tanzania ni ujanja ujanja tu,,,hakuna haki..zinaongozwa na serikali ya maccm,ndio shida..nchi zingine mfumo wa mahakama unajitegemea kimaamuzi,
Katiba yao ina ruhusu,na sisi katiba ingeruhusu na mahakama ikajiridhisha kuna shida ingetengua tu mkuu.POST yangu ya asubuhi niliandika Tanzania hatufikii hata robo ya siasa za Malawi, mahakama leo imetengua ushindi wa Rais hivyo uchaguzi kufanyika ndani ya siku 150 toka leo.
Wewe ni muongo, kwasasa wanaendelea na uhakiki wa kura zilizopigwa wakati wa uchaguzi na kesho saa 10 jioni watatoa majibu either uchaguzi utenguliwe au la.Hili ni fundisho kwa mahakama zetu kuwa huru. Ingekuwa hapa ungesikia ooh mgogoro wa kikatiba na blabla zingine. Suala tu la madedi mahakama zetu hazikuonesha weledi
Halafu kwa uhuni kama huu, mi empty set inasema mabeberu watuache na siasa zetu!! Viongozi wa afrika ni wepesi mno kama, tume za uchaguzi na mahakama zikiwa huru!!!POST yangu ya asubuhi niliandika Tanzania hatufikii hata robo ya siasa za Malawi, mahakama leo imetengua ushindi wa Rais hivyo uchaguzi kufanyika ndani ya siku 150 toka leo.
Kumbe inawezekana jamaniHalafu kwa uhuni kama huu, mi empty set inasema mabeberu watuache na siasa zetu!! Viongozi wa afrika ni wepesi mno kama, tume za uchaguzi na mahakama zikiwa huru!!!
Kuna mahakama hapa bwana?!! Tatizo sio katiba, jaji analiogopa bunge, eti ataleta mgogoro wa kikatiba?!! Kuzuia mbunge kuvuliwa ubunge?mahakama inaambiwa kusanyeni pesa toka kwa watuhumiwa, na mimi nitawapa 10% ya fedha hiyo!!!Katiba yao ina ruhusu,na sisi katiba ingeruhusu na mahakama ikajiridhisha kuna shida ingetengua tu mkuu.
macson
Hahahaaaa....... Wewe utakuwa umelewa mbege!Wewe ni muongo, kwasasa wanaendelea na uhakiki wa kura zilizopigwa wakati wa uchaguzi na kesho saa 10 jioni watatoa majibu either uchaguzi utenguliwe au la.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mifumo tu kujisimamia, yenyewe, sio ile tunayoambiwa kwenye maandishi, eti mihimili mitatu, wakati kuna mmoja tu!!Kumbe inawezekana jamani
Mungu ibariki MalawiView attachment 1345672
Mahakama ya Katiba nchini Malawi leo Februari 3, 2020 imebatilisha Matokeo ya Urais ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Mei 2019 kutokana na kasoro kwenye uchaguzi huo.
Wananchi wametanda mitaani na kulipuka kwa shangwe kusherehekea uamuzi huo wa mahakama.
Uchaguzi utarudiwa ndani ya siku 150 kuanzia leo kulingana na matangazo ya Tume ya Uchaguzi.
Hakimu/jaji anategemea huruma ya uteuzi toka kwa muhimili mwingine! Awe jaji wa mahakama kuu au jaji wa mahakama ya rufaa!!Mahakama za tanzania ni ujanja ujanja tu,,,hakuna haki..zinaongozwa na serikali ya maccm,ndio shida..nchi zingine mfumo wa mahakama unajitegemea kimaamuzi,
Sasa Mahakama zetu zijifunze kipi kutoka kwa Mahakama za Malawi. Mahalama inatenda kwa Mujibu wa nguvu ilizopewa na Katiba, kama kuna chombo cha kujifunza hapo ni bunge, siyo Mahakama.Hili ni fundisho kwa mahakama zetu kuwa huru. Ingekuwa hapa ungesikia ooh mgogoro wa kikatiba na blabla zingine. Suala tu la madedi mahakama zetu hazikuonesha weledi
Nchi gani wametengua matokeo, na kiuchumi wako chini zaidi yako ambaye hata kuhoji tu hayo matokea ni kosa?!Huku masikini wakifa njaa, walioshiba wako bize kutenguana ili kodi za wananchi zipigwe rushwa tena kwenye uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ikawa ccm wanaogopa tume huruHalafu kwa uhuni kama huu, mi empty set inasema mabeberu watuache na siasa zetu!! Viongozi wa afrika ni wepesi mno kama, tume za uchaguzi na mahakama zikiwa huru!!!