Malawi: Mahakama ya Katiba yabatilisha matokeo ya Uchaguzi wa Urais wa nchi hiyo uliofanyika Mei 21 mwaka 2019

Malawi: Mahakama ya Katiba yabatilisha matokeo ya Uchaguzi wa Urais wa nchi hiyo uliofanyika Mei 21 mwaka 2019

Hivi kipimo cha demokrasia ni ufutwaji wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu?
 
Hizi trophy nyingine bhana, mimi nilifikiri wameunda worlds fastest microchip, kumbe ni ujinga wa BBI.
 
Sisi tumezingirwa na madikteta who make Kenya look good despite being a shithole!
Way to go Malawi [emoji1156]
Nyie ni makumazani tu, Kenya ni ubabe mtupu, kilaada ya uchaguzi lazima mzipige mmejaa ukabila kama nini
Sisi ndio kielelezo Afrika....
Afrika ina mengi ya kujifunza kutoka Kenya....
Naona hata Tanzania hivi karibuni watatuiga News Alert: - Freeman Mbowe: Mapendekezo ya marekebisho muhimu ya Katiba na Sheria ili kuwezesha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 kuwa huru, wa haki na halali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho ndio kipimo pekee cha uhuru wa mahakama?
 
Tangu alipong'olewa Dikteta Kamuzu Banda Malawi haijawahi kurudi nyuma , Najivunia sana kuwekeza kwenye Nchi hii
 
Kanyaga twende
Screenshot_20200204-060742.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taratibu mtaacha mambo kama haya na kuwa wastaarab

2294925_2294894_tapatalk_1578598866010.jpeg
Wewe jamaa sikuelewagi aisee,
Juzi kati hapa ulikua ukilalamikia bodi ya mikop HESLB, leo uko Kenya!!!
 
Taarifa zilizopo nchini Malawi ni kwamba Tume ya Kikatiba, yenye akili na ambayo haiundwi na Makada wa chama, imetengua ushindi wa Urais wa Mutharika.

Wametoa siku 150 kuandaa uchaguzi mwingine. Hii kwa Bongo haitakaa itokee....
Sent using Jamii Forums mobile app
Malawi waje wamkodi Jecha akafanye maujanja supplier.

dodge
 
Kwetu inashindikana nn sasa?

hayo hayawezi kutokea Tanzania kwa sababu Katiba yetu ina kipengele kinachosema kuwa matokeo ya Uchaguzi wa rais haywezi kupingwa mahakamani baada ya kuthibitishwa na tume. Ni kipengele cha kijinga sana ambacho kimekuwa kwenye katiba yetu tangu mwaka 1994 hivi.

Kushindikana kwa Katiba mpya lilikuwa ni pigo sana kwa Tanzania. Leo haya malalamiko yanayotolewa na wapinzani ya kunyimwa demokrasia ni upuuzi tu; walitakiwa wajue kuwa wanaoperate katika katiba ipi. Baada ya zoezi la katiba kusitishwa, wapinzani wao walikaa kimya tu badala ya kulisema sana Bungenia na hata kwenye majimbo yao kwani ndilo lilitakiwa liwe agenda kubwa. Kelele za maandamano na mikutano ya hadhara ambayo wakati mwingine hugubikwa na vurugu havina tija yoyote kwa nchi; badala yake wangekuwa wanatumia majukwaa waliyonayo, kwa mfano wabunge wawe wanafanya mikutano ya majimbo na kuyazungumza hayo wakihakikisha vyombo vya habari vinayasambaza.
 
Hili ni fundisho kwa mahakama zetu kuwa huru. Ingekuwa hapa ungesikia ooh mgogoro wa kikatiba na blabla zingine. Suala tu la madedi mahakama zetu hazikuonesha weledi


Hapa mimi ndo nilikata tamaa na mahakama zetu, sijui Bob Wangwe alifanya nini baada ya hapo?
 
Wanajamvi wasalaam!

Mahakama ya katiba nchini Malawi hatimae imabatirisha matokeo ya uchaguzi ya 2019. Sasa hatimae Peter Muthalika amekuwa si Rais wa Malawi.

Kama bara zima la Afrika tuna cha kujifunza huko. Maajabu wenzetu hao wenye kainchi kadogo na illiteracy kubwa lakini wenye civic education ya kimiujiza wameweza kutumia akili yao na kudai maamuzi yao yaheshimiwe, wamejitofautisha na mataifa mengi ya kiafrika Tanzania ikiwemo.

Ushindi wa shauri la wananchi dhidi ya wenye mamlaka wa Malawi ni ushindi juu ya Malawi zaidi saana kwa waafrika wote pia! Maana akina Trump wanatutuhumu kuwa tunakosa akili, wamalawi wamedhihirisha kuwa kuna waafrika wenye akili.

Ushindi wa Kesi ya matokeo ya uraisi ni funzo pia kuwa kumbe inawezekana mwizi wa uchaguzi akawa Raisi huku wabunge wake wakawa walichaguliwa kihalali! Maana Kesi ya msingi ilikuwa kuharamisha matokeo ya uchaguzi wa uraisi tuu!

Tanzania kuna cha kujifunza, kwanza wazee wa philosophy walikuwa na usemi" sauti ya wengiwao ni sauti ya Mungu" inabidi kama inchi na sisi tujifunze hilo, maana tukiruhisu uhujumu wa uchaguzi kitakachofuatia ni uhukumi wa uchumi, uhujumu wa maisha ya watu, uhujumu wa Uhuru wa watu nk!

Kama taifa tusimame na tujifunze kuheshimu maamuzi halali ya wapigakura!

Nawasilisha
 
Ipo siku tutapata Mahakama za kikatiba zitakazo wazodoa watawala ,the Victory will come ni muda tu
 
Back
Top Bottom