Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ni makumazani tu, Kenya ni ubabe mtupu, kilaada ya uchaguzi lazima mzipige mmejaa ukabila kama niniSisi tumezingirwa na madikteta who make Kenya look good despite being a shithole!
Way to go Malawi [emoji1156]
Sisi ndio kielelezo Afrika....
Afrika ina mengi ya kujifunza kutoka Kenya....
Naona hata Tanzania hivi karibuni watatuiga News Alert: - Freeman Mbowe: Mapendekezo ya marekebisho muhimu ya Katiba na Sheria ili kuwezesha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 kuwa huru, wa haki na halali
Ndio,hukuona uchaguzi wa Zanzibar 2015?Hivi kipimo cha demokrasia ni ufutwaji wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu?
Si Malawi tuPOST yangu ya asubuhi niliandika Tanzania hatufikii hata robo ya siasa za Malawi, mahakama leo imetengua ushindi wa Rais hivyo uchaguzi kufanyika ndani ya siku 150 toka leo.
Wewe jamaa sikuelewagi aisee,Taratibu mtaacha mambo kama haya na kuwa wastaarab
![]()
Mmeanza kuonea huruma maskini tangu lini?Huku masikini wakifa njaa, walioshiba wako bize kutenguana ili kodi za wananchi zipigwe rushwa tena kwenye uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Malawi waje wamkodi Jecha akafanye maujanja supplier.Taarifa zilizopo nchini Malawi ni kwamba Tume ya Kikatiba, yenye akili na ambayo haiundwi na Makada wa chama, imetengua ushindi wa Urais wa Mutharika.
Wametoa siku 150 kuandaa uchaguzi mwingine. Hii kwa Bongo haitakaa itokee....
Sent using Jamii Forums mobile app![]()
Malawi election: Court orders new vote after May 2019 result annulled
There have been protests in the country after May's election, which the incumbent president won.www.bbc.com
Kwetu inashindikana nn sasa?
Sema tu kwa sababu ukiwa ccm unaona ndio mtanzania mbona huku Tz kumetulia laki rushwa mauaji uizi kupitia mikataba ya ajabu ajabu 1.5 mbona ni zaidi ya maamuzi ya mahakama kuu ya malawiHuku masikini wakifa njaa, walioshiba wako bize kutenguana ili kodi za wananchi zipigwe rushwa tena kwenye uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni fundisho kwa mahakama zetu kuwa huru. Ingekuwa hapa ungesikia ooh mgogoro wa kikatiba na blabla zingine. Suala tu la madedi mahakama zetu hazikuonesha weledi