Malawi wameweza, Tanzania tunafuatia

Malawi wameweza, Tanzania tunafuatia

Tunaheshimu mawazo yako
Yaani tumtoe ikulu Magufuli halafu tumuweke nani, Mbowe, Lissu, Msigwa au Nyarandu? hii itakuwa wendawazimu kabisa kwa sasa tuacheni, mkajipange vizuri tukutane 2025.
 
Umemaliza kazi zoote
Usisahau Pamoja na PH.d zao walizonazo viongozi wetu lkn wao ndio walikua watu wa kwanza kwenda kwa yule Rais wa Madagascar ambae ni DJ kunywa ile Dawa ya Covid.
 
Mgombea wa Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Malawi (MCP) Dr. Lazarus Chakwera anaongoza kura kwa zaidi ya 60% dhidi ya Prof. Peter Mutharika anayetakiwa kuondoka Ikulu ya Malawi wakati wowote kuanzia sasa.

Hatua hii ni baada ya Mahakama kutengua Ushindi wa hujuma uliofanywa na Serikali ya Chama tawala cha DPP chini ya Prof. Peter Mutharika anayeondolewa Ikulu.

Malawi wamemaliza Kazi yao!

Muda ni hakimu mzuri, watanzania tujiandae kuyapokea mageuzi ya kiuongozi.
Wananchi wa Tanzania hawajui wanataka nini?
Au
Hawajui aina ipi ya uongozi wanautaka
 
Watakuwa wanajiandalia tiketi ya kwenda The Hague, huwezi kuwaua watu alafu ukabaki salama
Kwanza hakuna watanzania wenye moyo wa kuandamana kudai tume, wengi wanaamini kazi ya kudai tume huru ni ya wanasiasa.
 
Mkumbushe labda alikuwa nje ya nchi
Usisahau Pamoja na PH.d zao walizonazo viongozi wetu lkn wao ndio walikua watu wa kwanza kwenda kwa yule Rais wa Madagascar ambae ni DJ kunywa ile Dawa ya Covid.
 
Back
Top Bottom