- Hamna uhusiano wowote na hoja ya msingi, ila ahsante kwa elimu ya bure, my conclusion ni kwamba hata na wewe huna clue kama mimi on what was DK. Malecela kabla ya kuchaguliwa kuwa mbunge 1975, na legally kuwa mbunge.
Ahsante Mkuu na great debate, pia I am looking forward na mijadala mingine mbele ya safari.
William.
Anything but mbunge. Angeweza kuingia bungeni kama Waziri, I don't see why that is so hard to see. Katika serikali ambayo haikuwa lazima kuwa mbunge ili uwe Waziri, Waziri aliingia bungeni kama member wa cabinet na muwakilishi wa serikali bungeni. Unachoshindwa kukielewa hapo sikielewi.
Kiranga...La msingi ni kwamba Dk Malecela hakuwa mbunge kwa miaka 40 licha ya kwamba inawezekana aliingia bungeni kwa miaka inayokaribiana na hiyo. Hivyo miaka aliyoingia bungeni bila kujali kama ni mbunge ama ala,minus hiyo miaka aliyokuwa mbunge halali wa kuchaguliwa na wananchi then utapata jibu.
- Mkuu ahsante sana kwa great debate na pia kwa elimu nzito sana, see you soon kwenye mijadala mingine, ila hapa nimekubali kutokubaliana na kuendelea kuheshimiana.
William.
Kuanza na kuanza nasikia maajabu ya sarakasi za kaulimtu, neno la kwanza kutoka katika mdomo wa Mzee wa Malecela ni kaulimtu zilizo pinda: "Vijana"! "Vijana nimewaita..."
Ukiitisha press conference na mentality ya kwamba unaoongea nao ni "vijana" ndio hapo unaanza kuwa loose with details and facts maana unawaona ni madogo tu, ni kama unawadharau.
Kwenye professional setting hakuna cha vijana. Umeita waandishi, sio vijana. Unajuaje wote humo vijana? Unadharau fani hii kuwa ni ya vijana tu?
Kaulimtu! Kaulimtu! Kaulimtu!
Malecela alikuwa mbunge wa Mtera miaka 40. Umejuaje? Nini chanzo chako?

Zaidi ya hapo,
Mtu anaitisha press conference halafu ana wa address watu aliowaita, anashindwa kujua kuwa aliowaita ni conduit tu ya kupelekea maoni yake kwa taifa.
Usianze kwa kuwa address vijana unaowaona katika chumba cha press conference, address taifa zima.Ukiaddress vijana uliowaita katika press conference ile una betray small midedness yako.
kwani umeambiwa yeye kipofu? kaulimtu jamani!
Si wazee wote wanaoonekana kama wazee, na si vijana wote wanaoonekana kama vijana.
Unless Malecela kachunguza birth certificates zao wote, au kaangalia IDs zao wote, anaweza kuwatukana miti mikavu wengine walio sawa naye kiumri kwa kuwaita "vijana"
Kaulimtu kaulimtu!
Mkuu wangu usisahau WATU na MAZINGIRA hata siku moja..Mzee Malecela kukuita wewe kijana haina maana kuwa wewe ni nchovu fulani ila ni mila na desturi zetu ktk kujitambulisha.. mbona mnatuita Wazee humu JF, kwa uzee gani tuliokuwa nao!..Kuanza na kuanza nasikia maajabu ya sarakasi za kaulimtu, neno la kwanza kutoka katika mdomo wa Mzee wa Malecela ni kaulimtu zilizo pinda: "Vijana"! "Vijana nimewaita..."
Ukiitisha press conference na mentality ya kwamba unaoongea nao ni "vijana" ndio hapo unaanza kuwa loose with details and facts maana unawaona ni madogo tu, ni kama unawadharau.
Kwenye professional setting hakuna cha vijana. Umeita waandishi, sio vijana. Unajuaje wote humo vijana? Unadharau fani hii kuwa ni ya vijana tu?
Kaulimtu! Kaulimtu! Kaulimtu!
Malecela alikuwa mbunge wa Mtera miaka 40. Umejuaje? Nini chanzo chako?
kwani umeambiwa yeye kipofu? kaulimtu jamani!
It's all relative, right?[/B]