Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
- Hamna uhusiano wowote na hoja ya msingi, ila ahsante kwa elimu ya bure, my conclusion ni kwamba hata na wewe huna clue kama mimi on what was DK. Malecela kabla ya kuchaguliwa kuwa mbunge 1975, na legally kuwa mbunge.
Ahsante Mkuu na great debate, pia I am looking forward na mijadala mingine mbele ya safari.
William.
Anything but mbunge. Angeweza kuingia bungeni kama Waziri, I don't see why that is so hard to see. Katika serikali ambayo haikuwa lazima kuwa mbunge ili uwe Waziri, Waziri aliingia bungeni kama member wa cabinet na muwakilishi wa serikali bungeni. Unachoshindwa kukielewa hapo sikielewi.