Malecela avunja ukimya!

Malecela avunja ukimya!

- Hamna uhusiano wowote na hoja ya msingi, ila ahsante kwa elimu ya bure, my conclusion ni kwamba hata na wewe huna clue kama mimi on what was DK. Malecela kabla ya kuchaguliwa kuwa mbunge 1975, na legally kuwa mbunge.

Ahsante Mkuu na great debate, pia I am looking forward na mijadala mingine mbele ya safari.

William.

Anything but mbunge. Angeweza kuingia bungeni kama Waziri, I don't see why that is so hard to see. Katika serikali ambayo haikuwa lazima kuwa mbunge ili uwe Waziri, Waziri aliingia bungeni kama member wa cabinet na muwakilishi wa serikali bungeni. Unachoshindwa kukielewa hapo sikielewi.
 
- Mkuu ahsante sana kwa great debate na pia kwa elimu nzito sana, see you soon kwenye mijadala mingine, ila hapa nimekubali kutokubaliana na kuendelea kuheshimiana.

William.
 
Kiranga...La msingi ni kwamba Dk Malecela hakuwa mbunge kwa miaka 40 licha ya kwamba inawezekana aliingia bungeni kwa miaka inayokaribiana na hiyo. Hivyo miaka aliyoingia bungeni bila kujali kama ni mbunge ama ala,minus hiyo miaka aliyokuwa mbunge halali wa kuchaguliwa na wananchi then utapata jibu.

Hii habari ya ubunge halali hii ndiyo ile ile ya "legally".

Mbunge ni mbunge halali, kama kuna mbunge halali, basi kuna mbunge haramu, kama vile waislamu wanavyojua kwamba kuna nyama halali na haramu, kama kusingekuwa na nyama haramu zote zingekuwa halali na concept ya uhalali ingekosa maana, kwa sababu kila kitu kinapata definition kutokana na relativity, huwezi kujua mwanga mpaka uone kiza.

Mimi nakataa kwamba kuna mbunge aliye mbunge legally, kwa sababu una introduce mbunge mwingine aliye bungeni illegally, kama tungekuwa na breakaway republic Mwanzanhuko wana bunge lao ambalo tume li declare kuwa illegal hapo ingekuwa sawa, lakini hatuna.
 
- Mkuu ahsante sana kwa great debate na pia kwa elimu nzito sana, see you soon kwenye mijadala mingine, ila hapa nimekubali kutokubaliana na kuendelea kuheshimiana.

William.

Mimi nakubali kutokubali kukubali kutokubaliana.
 
Lugha yetu pia nayo sometimes namna gani vipi,kwasababu ni kawaida kusema "Mbunge halali wa kuchaguliwa na wananchi" Sasa hapo kuna mbunge asiye halali?
Ukitumia kiingereza unaweza kutolewa macho,kiingereza mara nyingine kina meaning nzito zaidi....Hilo neno la mbunge halali wa kuchaguliwa na wananchi hutumika sana.
Mjadala ulikuwa ni kwamba inawezekana Dk malecela aliingia bungeni kwa miaka 40 lakini si yote aliingia kama mbunge halali wa kuchaguliwa na wananchi,kwamba aliingia kama waziri hilo limeshajibiwa and so ni vyema sasa tuanze kuyapima aliyosema mzee Malecela,Invisible keshaweka audio ila nimepata shida kui download.
 
Kiranga,kabla ya sheria ya mwaka 1990,hauwezi kuwa mbunge halali kama hujachaguliwa na wananchi,kwa maana kwamba kama hujapigiwa kura wewe si mbunge halali...Baada ya sheria ya wabunge wa kuteuliwa kupitishwa,then tunaweza kuwa na mbunge halali amabaye si wa kuchaguliwa bali wa kuteuliwa.
Kuna maneno ambayo huwa yanaambatana na neno "legal" mfano "lengal tender" inavyotumika kwenye monetary system.
Hivi Kiranga nikisema this is "illegal money" ni lazima iwe illegal tender? Jibu ni NO,ni counterfeit,illegal ni ile iliyopatikana isivyo halali kama drug money etc.
Maana yangu halisi ya mifano hiyo hapo juu ni kuhusu technicalities za haya maneno especially tunapotafsiri kutoka kiingereza hadi kiswahili.
 
Kuanza na kuanza nasikia maajabu ya sarakasi za kaulimtu, neno la kwanza kutoka katika mdomo wa Mzee wa Malecela ni kaulimtu zilizo pinda: "Vijana"! "Vijana nimewaita..."

Ukiitisha press conference na mentality ya kwamba unaoongea nao ni "vijana" ndio hapo unaanza kuwa loose with details and facts maana unawaona ni madogo tu, ni kama unawadharau.

Kwenye professional setting hakuna cha vijana. Umeita waandishi, sio vijana. Unajuaje wote humo vijana? Unadharau fani hii kuwa ni ya vijana tu?

Kaulimtu! Kaulimtu! Kaulimtu!

Malecela alikuwa mbunge wa Mtera miaka 40. Umejuaje? Nini chanzo chako?
 
Nadhani aliwatumia waandishi hao kufikisha ujumbe kwa vijana,naweza kuwa wrong,so i stand corrected.
Kama sensa inaonyesha kuwa wapiga kura wengi ni vijana,then usishangae wanasiasa wakiwapa kipaumbele,ni kama Obama na Hip Hop generation,hao ndiyo walimpelekea white house licha ya kwamba senior citizens walim diss.
 
Kuanza na kuanza nasikia maajabu ya sarakasi za kaulimtu, neno la kwanza kutoka katika mdomo wa Mzee wa Malecela ni kaulimtu zilizo pinda: "Vijana"! "Vijana nimewaita..."

Ukiitisha press conference na mentality ya kwamba unaoongea nao ni "vijana" ndio hapo unaanza kuwa loose with details and facts maana unawaona ni madogo tu, ni kama unawadharau.

Kwenye professional setting hakuna cha vijana. Umeita waandishi, sio vijana. Unajuaje wote humo vijana? Unadharau fani hii kuwa ni ya vijana tu?

Kaulimtu! Kaulimtu! Kaulimtu!

Malecela alikuwa mbunge wa Mtera miaka 40. Umejuaje? Nini chanzo chako?

Zaidi ya hapo,

Mtu anaitisha press conference halafu ana wa address watu aliowaita, anashindwa kujua kuwa aliowaita ni conduit tu ya kupelekea maoni yake kwa taifa.

Usianze kwa kuwa address vijana unaowaona katika chumba cha press conference, address taifa zima.Ukiaddress vijana uliowaita katika press conference ile una betray small midedness yako.

he literaly failed to visualize the big picture beyond the press conference.
 
Kuanza na kuanza nasikia maajabu ya sarakasi za kaulimtu, neno la kwanza kutoka katika mdomo wa Mzee wa Malecela ni kaulimtu zilizo pinda: "Vijana"! "Vijana nimewaita..."

Ukiitisha press conference na mentality ya kwamba unaoongea nao ni "vijana" ndio hapo unaanza kuwa loose with details and facts maana unawaona ni madogo tu, ni kama unawadharau.

Kwenye professional setting hakuna cha vijana. Umeita waandishi, sio vijana. Unajuaje wote humo vijana? Unadharau fani hii kuwa ni ya vijana tu?

Kaulimtu! Kaulimtu! Kaulimtu!

Malecela alikuwa mbunge wa Mtera miaka 40. Umejuaje? Nini chanzo chako?

- A man of your calliber academically, could do better than this analysis.

Ahsante na Done!.

William.
 
Zaidi ya hapo,

Mtu anaitisha press conference halafu ana wa address watu aliowaita, anashindwa kujua kuwa aliowaita ni conduit tu ya kupelekea maoni yake kwa taifa.

Usianze kwa kuwa address vijana unaowaona katika chumba cha press conference, address taifa zima.Ukiaddress vijana uliowaita katika press conference ile una betray small midedness yako.

Hii audio sijaisikiliza bado,hicho ndicho nimemweleza Kuhani hapo juu assuming aliwatumia kama conduit kupeleka message especially kwa vijana.
 
Last edited:
kwani umeambiwa yeye kipofu? kaulimtu jamani!

Si wazee wote wanaoonekana kama wazee, na si vijana wote wanaoonekana kama vijana.

Unless Malecela kachunguza birth certificates zao wote, au kaangalia IDs zao wote, anaweza kuwatukana miti mikavu wengine walio sawa naye kiumri kwa kuwaita "vijana"

Kaulimtu kaulimtu!
 
yeah yeah yeah!
 
Kuhani,
Kuanza na kuanza nasikia maajabu ya sarakasi za kaulimtu, neno la kwanza kutoka katika mdomo wa Mzee wa Malecela ni kaulimtu zilizo pinda: "Vijana"! "Vijana nimewaita..."

Ukiitisha press conference na mentality ya kwamba unaoongea nao ni "vijana" ndio hapo unaanza kuwa loose with details and facts maana unawaona ni madogo tu, ni kama unawadharau.

Kwenye professional setting hakuna cha vijana. Umeita waandishi, sio vijana. Unajuaje wote humo vijana? Unadharau fani hii kuwa ni ya vijana tu?

Kaulimtu! Kaulimtu! Kaulimtu!

Malecela alikuwa mbunge wa Mtera miaka 40. Umejuaje? Nini chanzo chako?
Mkuu wangu usisahau WATU na MAZINGIRA hata siku moja..Mzee Malecela kukuita wewe kijana haina maana kuwa wewe ni nchovu fulani ila ni mila na desturi zetu ktk kujitambulisha.. mbona mnatuita Wazee humu JF, kwa uzee gani tuliokuwa nao!..
 
Sioni shida hapo kama ujumbe huo ni kwa vijana,waandishi wako pale kama wapokea ujumbe tu. Nimshindwa kuipata audio,hata hivyo cha muhimu ni ujumbe wake na si kusema eti aliwaita waandishi wa habari "Vijana"
 
Hilo neno "Vijana" kama alilitumia wakati wa kuwasalimu waandishi wa habari then mnaweza ku complain,hata hivyo Mkandara keshajibu hapo juu kuwa sometimes tunaitana wazee lakini haina maana kuwa ni wazee.
Kama alitumia neno "Vijana" kwa maana ya kufikisha ujumbe kwa vijana na wala si waandishi, then sioni kosa.
 
Si wazee wote wanaoonekana kama wazee, na si vijana wote wanaoonekana kama vijana.

Unless Malecela kachunguza birth certificates zao wote, au kaangalia IDs zao wote, anaweza kuwatukana miti mikavu wengine walio sawa naye kiumri kwa kuwaita "vijana"
Kaulimtu kaulimtu!

Sasa hii ni ligi ya kombe la mbuzi!
 
Back
Top Bottom