Malengo makuu ya Vita ni Kuishi na kushinda; sio kujitoa mhanga

Malengo makuu ya Vita ni Kuishi na kushinda; sio kujitoa mhanga

Kama unaona uwezekano wa kufa au kushindwa Abort hiyo vita. Weka makubaliano na adui yako kwa muda. Ndivyo watibeli tunavyofanya.
Nyuzi zinazoanzishwa hapa jukwaani zingejikita kutoa mipango na utaratibu wa kunusuru maisha ya Ndugu Polepole. Kama hatima yake haijajulikana Sioni tija ya kuendelea na mjadala huu.

Labda kwa wale ambao wanaamini kuwa nyikani Kuna sungura wenye usungura zaidi ya wenzao!!!
 
Tunaokoa maisha ya watu Mkuu.
Ni vile huoni tuu
 
Watanganyika hawa Hawa Wala mihogo?..you must not be serious!!

Wanakusakizia alafu ukikutwa wanakutelekeza.
Wanamrukia mwingine hivyohivyo.

Hakuna mipango ya kueleweka, mikakati ya maana haipo, rasilimali zipo disorganized.
Tunashindaje?

Aanayekusakizia yeye anatumia ID fake au yupo nje ya nchi serious!!
 
Watanzania wengi kwasasa wanaelewa ujumbe wa aina moja tu. Ni wazi tuna shida kubwa ya akili na hasa tulihitaji zaidi reforms kwenye ubongo ili tuwe na mtazamo sahihi kwenye reforms za katiba
 
Na hiyo vita ili mshinde na malengo yatimie lazima baadhi wajitoe mhanga na wafe kwa ajili ya wengine.
 
Waambie wanaokutuma kuandika haya mashudu waandae ndege za kuwatorosha na familia zao hiyo tarehe 29 Oktoba

Safari hii Watanzania tupo serious kuwashughulikia zaidi ya wanavyodhani.
Mtawashughulikia mitandaoni tu ndo mwisho wa jazba zenu
 
"Lengo kuu la vita ni kutimiza malengo ya kisiasa."-Clausewitz.
 
Back
Top Bottom