Malengo yangu mwaka 2021 ni kuacha pombe, umalaya na ku-bet

MKUU naomba ninukuu!.. "OA RAFIKI YAKO UNAE MUHITAJI NJE YA KITANDA" Thank you
 
Hii nayo ni shida,nina wanawake 6,na 3 ni wake za atu ambao ndani hawapati dyudyu vzr.Mikuno yangu imewachanganya
Wake za wat achana nao dili na hawa wa kitaa wapakie vumbi la kongo kabsa
 
Tafuta PISI moja ya USHAGOO uwe unasuza RUNGU tu!! KuBET na Pombe unaacha ndani ya DAKIKA 0 ila kuacha umalaya inabidi utafute PISI ya USHAGOO uiweke ndani kwa ajili ya kusuuza RUNGU.
 
Mimi kubet niliacha baada ya siku moja kupoteza pesa nyingi bila sababu ya msingi. Nikasema naacha na sijabet sasa nimetimiza mwaka maana niliacha mwaka jana december sijui November. Pombe mimi nakunywa ila kawaida sana, na naweza maliza hata miezi mitatu hata mitano sijagusa kabisa. Umalaya huo nimeacha kabisa toka mwezi wa tatu na sasa naumaliza mwaka.

Mungu mkubwa kupanga ni kuchagua...
 
Upo kwenye hatua za mwisho kuaga pombe, zinaa na betting mara mambo yaliyokuwa magumu kuyapata yanakua rahisi mpaka inabidi uahirishe na kuvunja dhamira.
Ulishafanya betting sana hukuwahi kuwin millions kadhaa, mara unaweka buku ten unashinda milioni 12 na laki zake.
Kuna demu mkali ulishasotea sana ila siku hiyo anajileta mwenyewe akupe mzigo, unajisemea ngoja nipige ya mwisho.
Umeshinda milioni 12 unajisemea leo nikapige pombe za bei ghali na huyu mrembo.
 
Kuacha kubet ni ngumu mno mkuu,kwani ukiona fixture tu,Akili lazima 'ziruke',Mimi nlikua na mpango huo wa kuacha lakini nimeshidwa.
 
Mtumishi umetisha!😀✌🔥
 
Jitahidi sasa uondokane na hilo zimwi lililosalia ling'oe na mizizi yake yote hapo utakuwa huru kiroho safi tu.
 
Pombe niliacha 2016 October
Japo siku moja moja (occasionally labda mara 1 baada ya miezi kadhaa huwa napiga)

Umalaya dah......huu ni mtihani wangu mkubwa sana. Hapa nilipo kuna mwanamke keshanipanga xmass twende Moro.

Kuna mwingine keshaniambia anatoka Mwanza anakuja....anataka kunfirmation akasuke kabla ya Jumatano. Nawaza sana sijui niwe na nani kwa xmass?

Huyu aliyenipanga twende Moro ni chombo mpya nimetindua mara 1 tu.

Kubet sibet kabisaaa. Nina miaka zaidi ya 7 sijaweka mkeka. Nakumbuka mi nilikua nabet enzi hizo kwa USSD miaka ya 2013. Nikaachaga na sibet tena.

Nimepanga kuoa mwaka 2021. Huenda nikaacha umalaya. By the way kubarikia.

Mungu nisaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…