Malengo yangu mwaka 2021 ni kuacha pombe, umalaya na ku-bet

watu tunaangaika kwa matatizo tunayo yatengeneza wenyewe, mkuu unaeza acha hivyo vitu hata bila kuokoka
Kuokoka ni an added advantage sawa na civil engineers wanavyoreinforce construction projects zao kwa nondo na zege.
 
kila ni unachofanya ni chaguo lako tuuu.kama ulichagua kufanya hayo yote unaweza kuchagua pia kuacha sababu ni OPTIONS tuu.JUST LIMITED OF OPTIONS
 
Jitahid kutafuta kitabu kimoja kinaitwa POWER OF YOUR MIND.(kina pages chache sana kama

Mfano: MTU unataman kuacha pombe,lkn unajikuta baada ya siku mbili tatu unakunywa tena zaid kama umerogwa.

Au unakataa kununua mala.ya unajikaza lkn unajikuta unatongoza na kununua baada ya muda na kupoga three some KBS...


Hii sio umerogwa Bali POWER OF YOUR SUBCOSCIOUS MIND PLAYS PART.
Tunakuombea ufanikishe adhma yako.
 
Na sigara..
 
kwa mtazamo wangu atakuwa ametoka kwenye kifungo kimoja na kuingia kifungo kingine. labda kama hawezi kujiongoza basi itambidi aokoke ili vitabu vya dini vimwongoze badala yake.
Kuokoka ni an added advantage sawa na civil engineers wanavyoreinforce construction projects zao kwa nondo na zege.
 
Kweli shost si tupo nao mtaani tunajionea akiwa hana hela ataachana na kila kitu ngoja sasa ashike pesa utamsikia mimi niache pombe labda tbl ifungwe
Pesa nashika ,,now and then By the way nina mshahara una flow!.. and nina hustle kinyama YAANI nikpiga hesabu nilitakiwa niwe some where kimaendeleo!.. at least niachane ni hiki ki baby walker !..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…