Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
Huwezi kuacha.
[emoji23][emoji23][emoji23] daaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kuacha.
Kumbe tupo wengi wenye malengo yanayofanana fananaWakuu salaam!
Mwaka 2020 Nimeamua na nimedhamiria kuacha mambo haya:
1. Pombe
2. Umalaya
3. Ku-bet
Hii combination inafanya natumia zaidi ya laki 6 kwa mwezi wakati kipato changu ni chini ya 500k, najikuta katika madeni ya kijinga kijinga.
Nimedhamiria kumrejea Muumba, yaani kwa dhambi nilizotenda na nilizonazo natamani hata nisali Dini zote!
MARRY X MASS & HAPPY NEW YEAR IN ADVANCE
NB: MNIWEKE KATIKA MAOMBI
Mi nampango wa kupunguza after Xmass 😊Sikushauri uache pombe mkuu, ebu tuendelee kupombeka..🥃
That's called Viscous circle😉Pombe SABABU ya marafiki ambao nimekusudia kuwaepuka na nikilewa lazima nihangaike na madanga and kubet ni tu kutaka pesa za chap chap ili nikanywe nipate malaya! Its like a circle!.. Am going through on line counselling pia
Sheikh wangu Najitahidi niwe Stamalah wajadah!... Inshallah nitafanya kwa halali,,, 4 sunnah!..
Counseller wangu amenambia if I want ot for serious lazima iwe slow process ikiwa over sudden utakua umepumzika soo nataka niache kabise then ndo ntafute Mtoto wa KISUKUMA NIWEKE NDANI!...
Mimi kubet niliacha baada ya siku moja kupoteza pesa nyingi bila sababu ya msingi. Nikasema naacha na sijabet sasa nimetimiza mwaka maana niliacha mwaka jana december sijui November. Pombe mimi nakunywa ila kawaida sana, na naweza maliza hata miezi mitatu hata mitano sijagusa kabisa. Umalaya huo nimeacha kabisa toka mwezi wa tatu na sasa naumaliza mwaka.
Mungu mkubwa kupanga ni kuchagua...
Zaidi ya M, si kwamba nilikuwa nabet sana labda addicted, hapana ila nilikuwa nabet basket NBA na ligi ya Phillipines, na naweza pesa ndefu nabet quater to quater kwa timu moja moja so unakuta mpaka namaliza vipindi vyote 4 nimenasa sanaMkuu hiyo siku moja ulipoteza kiasi gani?
Anakwambia niache pombe nimuachie nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Kweli shost si tupo nao mtaani tunajionea akiwa hana hela ataachana na kila kitu ngoja sasa ashike pesa utamsikia mimi niache pombe labda tbl ifungwe
Hili nakubaliana naloHakuna kitu kinaitwa kunywa kwa kiasi. Watu. Kama umwshindwa kujizuia kunywa ukiwa sober, huwezi hata kidogo wakati ushaanza kunywa eti kufanya maamuzi ya kuwa na kiasi. Solution ni prevention siyo cure.
Utakua unanunua zile K za mafungu pale Meeda unambinjua mtu kwa Babu kwa buku.Mi ni no 2 pekee ndo inanitesa sana vingine vyote situmii ila kwa mwezi natumia elf 20 tu kwenye hilo suala
Nafsi yuleyule mmoja, ila kila jina linashadidi sifa zake tofauti (slanderer, accuser, opposer, evil, adversary)Mkuu nimependa jibu lako kwa huyu ndugu yetu,Nina swali dogo tuu,Nini tofauti ya devil na Satan? Mimi najuaga ni kitu hichohicho! Je ni sawa?
NiceUmesema vizuri sana mkuu kwenye hiyo paragraph ya pili,wengi wanapokiri kuacha dhambi huwa hawajui kua wametangaza vita na shetani,mwisho wa wengi ni kuishia njiani kwa kuona kuwa mbona hali zao zimekuwa mbaya zaidi kuliko za mwanzoni,ila kama umedhamiria kuwa uko tayari hata ikibidi kutoa uhai wako kwa ajili ya kutokurudi ulikokuwa,utashangaa mambo yanayokuwa rahisi kwako...
Matthew alikuwaga professional treasurer kwenye ile old Roman Protectorate over Jewish nation, anajua kuchezesha tarakimu kinamna kwa peni na kula dili nyingi bila kukamatika, lakini siku Mnazareti amemwita Matthew kamfuata Bwana Mkubwa wala hata hakugeuka tena kurudi alikotoka mazima.Dah....mi apo kwenye pombe ndo nimefeli kuacha......